Hahahahaha pole mkuu hiyoo ndo baynSamahan jaman muwe na huruma mambo ya kuanza kikumbushana misiba siyo zuri
Ikiwa mm kama shabiki wa Barcelona naomba hili swala la kufungwa goal 8 tuache kulizungumzia kidogo.., kunamengi ya kujadil tofauti na hlo
acha tu kakaHahahahaha pole mkuu hiyoo ndo bayn
[emoji23]Usiku mwema. PSG watachukua ubingwa niko nao asilimia 100
[emoji23][emoji23][emoji23] unamaana anaota daah nimecheka hatari
Lete mrejesho bossAkina Lewandowski, Davis, mulkar haya amini. Na wanabahati wangeshapigwa 3. Ni dakika ya 20 yanapelekeshwa Bala na lyon. Na Lyons watashinda hii mechi.
Bwahaha sijui eti chuma cha mjerumani kwikwi[emoji51][emoji51][emoji51][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
The Bavarians ,utafanyaje sasaDah yani baada ya kupost I uzi narudi. Really heartbreaking
I hate beyern Munich with all my heart. Siwapendi nawaombea mbaya. Mnisamehe
Ww utakua shabiki wa barce8