Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Lakini nasikia wanamtaka Kluivert kuwa kocha
Ni mwaka jana tu alikuwa mkurugenzi wa Academy ya Barcelona lakini akaondoka na sasa ni mkurugenzi wa mpira wa PSG.
Sidhani kama atakubali kurudi Barca.
Pochetino anawafaa barcelona kwani akiwa talent spotter ataweza kukuza vipaji vya wachezaji wengine wapya.
Aliweza kazi hiyo alipokuwa Southampton na Tottenham ambapo aliweza kufanya project zake kwa kiasi kidogo cha fedha.
barcelona wanahitaji kujivua magamba na kuanza upya.