Nywilla
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 379
- 349
Nashangaa sana Bayern inarudia kitendo kilekile cha kipigo kinachofanana kipindi cha kwanza vilevile cha pili .[emoji23] [emoji23]View attachment 1537467
WanaJF Inakuwaje!
Bayern Munich wanabahati na kushukuru beki matata na Machachari raia wa ufaransa mwenye asili ya Cameroun Samuel Umtiti hakuwepo uwanjani dhidi yao kwenye robo fainali ya Uefa championship league.
Umtiti ambaye hakusafiri na wenzake Lisbon kwa kukutwa na Corona nakujiself quarantine imeisababishia Messi na wenzake kuaibishwa kwa kunyukwa magoli 8-2 huku Cotinho waliyemkataa akifunga mawili.
Tangu awali 'Bayan' walipogundua Umtiti hatakuwepo walifurahi sana nakujua mwendo utakuwa Kitonga.
Cha kuhuzunisha zaidi pengo la Umtiti limeonekana Zahir kwa Akina Messi na Suarez, Vidal na Pique kucheza Fyongo.
Mkongwe Sergio Bisquet ni kama uzee umempoteza.
Tunamuombea Umtiti apone haraka sana arudi kuikomboa Barca msimu ujao.
JF Local and International Sports Analyst
Masters
Chelsea wapewe tuzo ya heshima maana walijitahidi sana kupunguza magoli.