Lakini nasikia wanamtaka Kluivert kuwa kocha
Hapana and i am so glad i didn'tNimecheka nimefurahi tu
Did you watched the game?
Pole..and goodmorningHapana and i am so glad i didn't
Bayern imeshamfunga barcelona 7-0 . Tena barcelona yenye xavi, iniesta, messi, puyol na kocha akiwa pep guardiola .. sasa why imuogope umtiti sijui
Bayern huwa inamuweza barca mara nyingi tu
8-2 zinatosha sana mkuu, hata mi siwapendi Barca hasa baada ya ule upumbavu wao walipokuwa wakibebwa sana wakimzingira Refa pindi tu mchezaji wa timu pinzani kucheza faulo hata ya kawaida ili apewe kadi na ubaguzi wa rangi kwa akina Samuel Eto'o na wengineo.Inaitwa kutesa kwa zamu kuna wakati hawa Barca walijiona mitume wa kugonga pasi kama wako mazoezini,Bayern ingawapa hata kumi nipate usingizi vizuri.
Timu/klabu si mtu m1 tu bali klabu/timu ni zaidi ya mtu m1 kiubora sababu ni kitu endelevu lakini mtu anatumika kwa muda anapata majeraha, anastaafu, anakufa, hadi hapo umenisoma vizuri mkuu?Hivi wewee unamjua Umtiti vizuri wewee
Sure, Rijkard aliisuka sana Barca chini ya akina Ronaldinho na Eto'o lakini yule mlugaluga sijui alitokea wapi akadandia tu timuGurdiola aliaribu hii timu . Mana wakati kocha wa Buyern , Buyern alichezea kichapo kutoka kwa hizi timu za Spain
Sent using Jamii Forums mobile app
Am glad,nimeamka poa kabisa
Yaani wameamua kufunga goli za Home and Away katika mechi moja.Wametoka tayari hii ni knockout ukipigwa umetoka hakuna Cha home and away.