Bayern wana bahati sana Umtiti hakucheza

Nashangaa sana Bayern inarudia kitendo kilekile cha kipigo kinachofanana kipindi cha kwanza vilevile cha pili .[emoji23] [emoji23]
Chelsea wapewe tuzo ya heshima maana walijitahidi sana kupunguza magoli.
 
Umtiti ana COVID 19 ila hata kama angekuwepo asingebadilisha matokeo.marehemu alikuwa na mdomo
 
Ila Si humu jamvini wanadai hawana kitu kwasababu Bundesliga hawana changamoto. Ila cha moto watakiona wakikutana na PSG fainali
Anayesubiri ushindi jioni kabisa ,chuma cha mjerumani kitakuwa kimeishazama kichwani mara tatu na mechi imeisha.
 
Mkuu, wachezaji wa Barcelona wakiongozwa na Messi wapo kwemye mgomo na hawamtaki kocha.

Pili, matatizo ya barceona si ya leo yalianza alipoondoka Pep Guadiola.

Mauricio Pochetino ndie kocha ajae wa Barca.
Uongooooo
 
Bavarians ni mkimbizo Amna cha kupumzika kwa wafuatiliaji Bayern miaka mingi robo fainal hazimsumbui shida yake yeye ni kwenye like kombe sijui analikosaje kizembe anatafuna mifupa migumu but mwishon anazingua ,ngoja tuone uefa hii time will tell
 
Kupata Vichekesho Kama hivi nafanyaje mkuu[emoji38]
nadhani umemjibu sahihi sana maana utadhani kaanza kuangalia mpira mwaka huu..kama aliona game ya man u na fc Copenhagen ndo atajua kuwa sisimizi na tembo nani mkubwa????thts Bayern aisee alipiga mwingi sana
 
man city kapigwa goli 3 na mpira kapigiwa yeye utasemaje na pale napo...???shame on u..tatizo tunatokaga na matokeo nyumbani ndo shida hyo
 
Zama Zao Zimekwisha....

Xavi Hernandez,Iniesta are no longer there......

Wawekeze Sana Katika La Masia....huenda bda ya miaka 10 wakapata Golden Boys Wengine....

Maisha ni NGAZI....
umezungumza mambo ya msingi sana ila nasikitika kwa kusema watakao kuelewa ni wachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…