Bayport na deni

Bayport na deni

Deni hili inakuwaje?

  • Bayport Tanzania.

    Votes: 1 25.0%
  • Microfinances

    Votes: 1 25.0%
  • BOT

    Votes: 2 50.0%

  • Total voters
    4

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Ndugu zangu heshima kwenu nyote.

Mwaka 2017 ndugu yangu alichukua mkopo Bayport huko Moro na ulikuwa ni mkataba wa miaka 3 ulitakiwa uishe 2019.

Ndugu yangu anasema yeye alikatwa mshahara kurejesha deni hadi January 2019,akawa anapokea mshahara wake wote bila makato.

Wiki chache zilizopita Bayport wameanza kumsumbua kwa kumwambia anaidawa jumla (mkopo na riba) ya milioni 10 na anatakiwa azilipe mapema endapo akichelewa kulipa pindi atakapopata mafao yake ya kustaafu watachukua pesa zaidi ya hiyo milioni 10.

Ndugu yangu anastaafu Septemba 2022 kazi yake ni mwalimu wa msingi.

Mimi nikajiuliza kwanini mkopo ulisitishwa bila kumalizika? Na kwanini hao Bayport baada ya kuona mkopo wao haujakalika/kuisha kwanini wasimtafute mdaiwa wao,wamemuacha zaidi ya miaka 3 hadi mtu kabakiza miezi kadhaa kustaafu ndio wanaanza kudai deli lao tena kwa kiwango kikubwa sana cha milioni 10??

Mwenye kujua namna yeyote ya kupambana na hawa watu tafadhali anisaidie nami nifikishe kwa ndugu yangu ambaye amechanganyikiwa kwa suala hili.

Asanteni.
 
Ndugu zangu heshima kwenu nyote.

Mwaka 2017 ndugu yangu alichukua mkopo Bayport huko Moro na ulikuwa ni mkataba wa miaa 3 ulitakiwa uuishe 2019.

Wiki chache zilizopita Bayport wameanza kumsumbua kwa kumwambia anaidawa jumla (mkpo na riba) ya milioni 10 na anatakiwa azilipe mapema endapo akichelewa kulipa pindi atakapopata mafao yake ya kustaafu watachukua pesa zaidi ya hiyo milioni 10.

Amtafute mwanasheria kwa msaada zaidi.
 
Kwenye hizo microfinance mnafataga nini watumishi??
Matatizo mengine mnajitakia kabisa
 
Waajiriwa wengi wa serikali wanaishi kwa mikopo bila hivyo wengi wao hata kununua tofali wasingeweza.
 
Haya mambo ni pande mbili. Ndugu Yako alivyoona Bayport wamekaa kimya kumkata ilhali hajamaliza deni kwann alikaa kimya, yaani kalipa miaka miwili na nusu Bado kidogo akaonaje labda wamesahau au?

Hao jamaa by nature ni magaidi Sasa unavyokaa kimya unawapa point sana.

Shida watanzania wengi hatuko genuine, ndugu Yako alitaka kiwaibia Bayport Sasa wamemtaimu wanamkamua yeye awe mpole tu

Tujifunze uaminifu watanzania
 
Nakubaliana nawe ila nao Bayport kwanini walisitisha makato na hawakumtafuta mdaiwa wao ambaye mkataba unasema pesa yote ilitakiwa ilipwe ndani ya miaka 3?
 
Bayport ya mama Anna Mkapa
.......kupitia ubia na makaburu wa Afrika ya Kusini.

Hiyo taasisi ni kirusi kwa watumishi wa umma. Na hawa waajiriwa wapya wa kada ya ualimu, wawe makini sana na hawa wadudu.

Maana wakiingia tu kwenye ushawishi wao wa kitapeli wa kupata mkopo ndani ya masaa 48, basi watajuta kuwafahamu.
 
Wale labda watakua , Loan shark,, deni lao haliishagi mpaka mdaiwa afe
Deni halitaisha mapema iwapo uta renew mkopo wao baada ya kukushawishi kila wanapohisi umepigika! Maana wana access za kuona salary slip yako mtandaoni.

Sasa ukiingia tu kwenye ushawishi wao, wanakupa hela mbuzi! Halafu wanaongeza miaka ya makato.

Hivyo kwa mtumishi aliyeingia mkenge wa kukopa Bayport, ajitahidi tu kutoingia kwenye mtego wa ku renew mkopo wao kwa namna yoyote ile. Akubali tu kuwa mpole mpaka deni lao liishe.
 
Waajiriwa wengi wa serikali wanaishi kwa mikopo bila hivyo wengi wao hata kununua tofali wasingeweza.

Wanaweza kukopa commercial banks
Hizo microfinance zimeshaonekana kuwa nyingi ni makanjanja lakini watu wamekomaa nazo kila siku
 
Kuna jamaa yangu alikopa milion 5 kwenye benki moja, na walipo anza kukata kwenye salary slip waliingiza hiyo milioni 5 kamili bila kuweka riba na inakatwa hiyo hiyo hadi leo. Sasa jamaa alitaka kurudi benki kuwakumbusha waweke na riba yao nikamwambia asubiri ili apate uzoefu kutoka kwa wadau...hebu wajuvi juu ya hili watusaidie mawazo
 
Nakubaliana nawe ila nao Bayport kwanini walisitisha makato na hawakumtafuta mdaiwa wao ambaye mkataba unasema pesa yote ilitakiwa ilipwe ndani ya miaka 3?

Sidhani kama Bayport walisitisha makato, Nahisi aliyesitisha hayo makato ni either hr au mteja kwa kushirikiana na hr. Bank au Microfinance itasitisha makato ili iweje? Labda ungesema wameongeza makato.
 
Kwenye hizo microfinance mnafataga nini watumishi??
Matatizo mengine mnajitakia kabisa
Tanzania Kuna watu wa aina fulani:

- Ni mbumbumbu vibaya sana lakini hawapendwi kuinekana hivyo mbele za watu. Happ ndipo wajanja huwa waningia Kati na kuyapiga.

- UBINAFSI ULIOOTA MIZIZI, NJAA na TAMAA hapa napo wajajna huwa wantumia nafasi hii KUYAPIGA. Maana ukishaambiwa utapata MANUFAA unafanya Siri yako.

Mijitu inapigwa kuanzia kwenye MIKOPO mpaka PENSION.

Inaumitumia muda wote wa kazi kunufaisha WAJANJA.
 
Sidhani kama Bayport walisitisha makato, Nahisi aliyesitisha hayo makato ni either hr au mteja kwa kushirikiana na hr. Bank au Microfinance itasitisha makato ili iweje? Labda ungesema wameongeza makato.
Kama wao Bayport hawakuhusika kusitisha makato ilikuwaje wanyamaze kimya kwa takribani miaka 3,mwaka huu ndio waanze kudai?
 
Ndugu zangu heshima kwenu nyote.

Mwaka 2017 ndugu yangu alichukua mkopo Bayport huko Moro na ulikuwa ni mkataba wa miaka 3 ulitakiwa uishe 2019.

Ndugu yangu anasema yeye alikatwa mshahara kurejesha deni hadi January 2019,akawa anapokea mshahara wake wote bila makato.

Wiki chache zilizopita Bayport wameanza kumsumbua kwa kumwambia anaidawa jumla (mkopo na riba) ya milioni 10 na anatakiwa azilipe mapema endapo akichelewa kulipa pindi atakapopata mafao yake ya kustaafu watachukua pesa zaidi ya hiyo milioni 10.

Ndugu yangu anastaafu Septemba 2022 kazi yake ni mwalimu wa msingi.

Mimi nikajiuliza kwanini mkopo ulisitishwa bila kumalizika? Na kwanini hao Bayport baada ya kuona mkopo wao haujakalika/kuisha kwanini wasimtafute mdaiwa wao,wamemuacha zaidi ya miaka 3 hadi mtu kabakiza miezi kadhaa kustaafu ndio wanaanza kudai deli lao tena kwa kiwango kikubwa sana cha milioni 10??

Mwenye kujua namna yeyote ya kupambana na hawa watu tafadhali anisaidie nami nifikishe kwa ndugu yangu ambaye amechanganyikiwa kwa suala hili.

Asanteni.
Tunapenda [emoji383]
 
Back
Top Bottom