Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Ndugu zangu heshima kwenu nyote.
Mwaka 2017 ndugu yangu alichukua mkopo Bayport huko Moro na ulikuwa ni mkataba wa miaka 3 ulitakiwa uishe 2019.
Ndugu yangu anasema yeye alikatwa mshahara kurejesha deni hadi January 2019,akawa anapokea mshahara wake wote bila makato.
Wiki chache zilizopita Bayport wameanza kumsumbua kwa kumwambia anaidawa jumla (mkopo na riba) ya milioni 10 na anatakiwa azilipe mapema endapo akichelewa kulipa pindi atakapopata mafao yake ya kustaafu watachukua pesa zaidi ya hiyo milioni 10.
Ndugu yangu anastaafu Septemba 2022 kazi yake ni mwalimu wa msingi.
Mimi nikajiuliza kwanini mkopo ulisitishwa bila kumalizika? Na kwanini hao Bayport baada ya kuona mkopo wao haujakalika/kuisha kwanini wasimtafute mdaiwa wao,wamemuacha zaidi ya miaka 3 hadi mtu kabakiza miezi kadhaa kustaafu ndio wanaanza kudai deli lao tena kwa kiwango kikubwa sana cha milioni 10??
Mwenye kujua namna yeyote ya kupambana na hawa watu tafadhali anisaidie nami nifikishe kwa ndugu yangu ambaye amechanganyikiwa kwa suala hili.
Asanteni.