kwa kawaida riba itapungua sababu Muda wa kulipa mkopo mpaka ukamilike unakuwa umepungua pia.sijaelewa hapa, yaani ulichukua mkopo ambao ulitakiwa uulipe ndani ya muda X lakini kabla ya huo muda unataka uwalipe hela yao yote si ndio?
sijaelewa hapa, yaani ulichukua mkopo ambao ulitakiwa uulipe ndani ya muda X lakini kabla ya huo muda unataka uwalipe hela yao yote si ndio?
mabenk ni mengi sijui kinachopelekea kukopa kwenye vitaasisi uchwara ni nini?