Bayport wanalazimisha kuendelea kunikata mkopo. Naombeni mwongozo wa kupata haki

Bayport wanalazimisha kuendelea kunikata mkopo. Naombeni mwongozo wa kupata haki

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Habari wakuu.

Awali ya yote naandika nikiwa nimekwazika sana dhidi ya Kampuni hii dhalimu yenye riba ya kinyonyaji dhidi ya watumishi. Nimewaaomba wanipe salio lao ili niwalipe niachane nao lakini wamegoma kutoa salio, sasa ni mwezi sasa.

Naombeni mwongozo wa Kisheria ili niweze kupata haki yangu lakini zaid kuna mazingira ya rushwa hapa ameyatengeza huyu wakala wao ili aweze kunihudumia.

Tahadhari.
Hawa Bayport ni maharamia na hawana huruma wala utu kabisa na wateja wao.

Karibuni ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijaelewa hapa, yaani ulichukua mkopo ambao ulitakiwa uulipe ndani ya muda X lakini kabla ya huo muda unataka uwalipe hela yao yote si ndio?
 
sijaelewa hapa, yaani ulichukua mkopo ambao ulitakiwa uulipe ndani ya muda X lakini kabla ya huo muda unataka uwalipe hela yao yote si ndio?
kwa kawaida riba itapungua sababu Muda wa kulipa mkopo mpaka ukamilike unakuwa umepungua pia.
 
mabenk ni mengi sijui kinachopelekea kukopa kwenye vitaasisi uchwara ni nini?
 
mabenk ni mengi sijui kinachopelekea kukopa kwenye vitaasisi uchwara ni nini?
 
Back
Top Bottom