Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,672
- 6,880
Habari wakuu.
Awali ya yote naandika nikiwa nimekwazika sana dhidi ya Kampuni hii dhalimu yenye riba ya kinyonyaji dhidi ya watumishi. Nimewaaomba wanipe salio lao ili niwalipe niachane nao lakini wamegoma kutoa salio, sasa ni mwezi sasa.
Naombeni mwongozo wa Kisheria ili niweze kupata haki yangu lakini zaid kuna mazingira ya rushwa hapa ameyatengeza huyu wakala wao ili aweze kunihudumia.
Tahadhari.
Hawa Bayport ni maharamia na hawana huruma wala utu kabisa na wateja wao.
Karibuni ndugu.
Sent using Jamii Forums mobile app