BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

Status
Not open for further replies.
Leo Jioni naona so far kwenye hizi Nomination zilizofanyika Watakao kuwa nyavuni ni
Code(4) ,K1(6), Munya (7) and Yacob (7) in alphabetical order
Kwa kuwa K1 ni HoH huenda akaacha msimamo uwe hivyo hivyo MUNYA NA YACOB WAWE KWENYE KIKAANGO AMBAPO YACOB KAOMBA KAMA WANANCHI MNAPENDA ACHUKUE USHINDI MPIGIE KURA ABAKI LAA AMECHOKA KUKAA NDANI KWA MIEZI 3 PASIPO KUTOKA NA KITU NI BORA AKATOKA MAPEMA KAMA HATAKUWA MSHINDI...Hajui kama kuna barn hse kweli kilio tu

Sheria inambana, lazima abadilishe msimamo. Akiamua kuacha kama ilivyo, maana yake ni kwamba na yeye anakuwa up for eviction.
 
Lets Vote for Yacob to go into the Barn hse...our vote (TZ) ni muhimu kwa Utatu huu
 
Lets Vote for Yacob to go into the Barn hse...our vote (TZ) ni muhimu kwa Utatu huu

Safari ya Yacob kwenda kwenye barn imewadia. Kitakachompeleka kwenye barn ni kutokuwa kwenye alliances. Pili, wiki hii amejikuta kwenye bifu na Meryl, Sheila, Uti na Paloma. Kwa hiyo SADC na Nigeria waki-gang up against Yacob, basi mchezo utakuwa umeisha.

Hivi BB ana mpango gani hao wanaokwenda kwenye barn? Maana walio kwenye barn wanajua kwamba bado wako kwenye game, na walio jumbani wanajua jamaa walishaenda home. Ngoja nione hii twist itaishia wapi maana naona kama ina-confuse.
 
Kama nakumbuka vyema Biggie thru IK aliwaambia wale wanaokwenda kwenye barn bado wapo kwenye game na watakaa kule kwa 9weeks then ni sie wadau tutakuwa na mamlaka ya kumrejesha mmoja mjengoni kwa kura zetu ikuona kama amefanya vyema akiwa ndani ya Barn.

Hii twist aliizungumza wakati anawapeleka Sammington kwenye Barn.Ila nachoona hakijafanyika ni UTI kwenda kwenye msiba wa babae au ameghairisha kwenda??
 
Farewell Sammi

eba0k0.jpg

Sammi told Biggie that he was having trouble sleeping. Biggie told Sammi that the doctors report. According to the doctors Sammi was suffering from elevated hypertension. The doctor suggested that Sammi leave the Big Brother House and get bed rest.

Sammi was asked how feels about the doctors verdict, and he said its okay for him because he admitted to needing medical attention. Sammi said that he knows that it needs to be done and has to be done.

Biggie told Sammi that as soon as he leaves he would need to see the doctor again. Biggie also told Sammi to disclose his information to his Barnmates and they should help him pack as he is due to leave the Barn in 2hrs.

Sammi earnestly thanked Biggie for the experience in the House and the Barn, he mentioned that he was very happy to be a part of it. He thanked Africa. He said that his experience on Big Brother changed him as a person, he grew. His parting words were that he'll live to tell a great story about it.

Sammi walked out and told his Housemates that he has to leave in two hours. He told them that the doctors recommended that he leaves. He told them that its been nice. Tatiana gave Sammi a heartfelt hug. Lerato said "that really sucks". Hannington joked with Sammi and said that he's leaving him with two girls, and Sammi giggled.
 
Attachments

  • sammi_art.jpg
    sammi_art.jpg
    9.9 KB · Views: 53
Sheila_Dagger_Sm.jpg

On the Big Brother Revolution, Yacob was remembered as being the laziest Housemate - now he has pointed his dagger at Sheila because he says she's just as lazy! Now she's been charged with making beds for a week and keeping the sleeping quarters neat and tidy.

This is the second Dagger Sheila has received this season, the previous one, from Hannington denied her alcohol for a week.

In typical Sheila style, she laughed out loud and jokingly protested when she heard Yacob's making his choice.
 
All Nominations: Week 6

Its week 6 of Big Brother All Stars and below is how the housemates & barnmates have nominated this week:

1. Jen: Sheila & Munya

2. Uti: Code & Paloma

3. Sheila: Jen & Code

4. Meryl: Paloma & Code

5. Mwisho: Kaone & Code

6. Code: Sheila & Uti

7. Paloma: Mwisho & Munya

8. Kaone: Jen & Meryl

9. Munya: Sheila & Uti

Barnmates' Nominations

10. Yacob: Munya & Code

11. Tatiana: Mwisho & Uti

12. Hannington: Munya & Jen

13. Lerato: Munya & Jen

__________________________________

Highest Votes
------------------

Code: 5

Munya: 5

Jen: 4

__________________________________

Other Votes
------------------

Uti: 3

Sheila: 3

Mwisho: 2

Paloma: 2

Kaone: 1

Meryl: 1

Tusubiri leo usiku tuone Jen ataji-replace na nani maana naye hatabiriki!
 
Thanks for updates mkuu Safari...
All Nominations: Week 6

Its week 6 of Big Brother All Stars and below is how the housemates & barnmates have nominated this week:

1. Jen: Sheila & Munya

2. Uti: Code & Paloma

3. Sheila: Jen & Code

4. Meryl: Paloma & Code

5. Mwisho: Kaone & Code

6. Code: Sheila & Uti

7. Paloma: Mwisho & Munya

8. Kaone: Jen & Meryl

9. Munya: Sheila & Uti

Barnmates' Nominations

10. Yacob: Munya & Code

11. Tatiana: Mwisho & Uti

12. Hannington: Munya & Jen

13. Lerato: Munya & Jen

__________________________________

Highest Votes
------------------

Code: 5

Munya: 5

Jen: 4

__________________________________

Other Votes
------------------

Uti: 3

Sheila: 3

Mwisho: 2

Paloma: 2

Kaone: 1

Meryl: 1

Tusubiri leo usiku tuone Jen ataji-replace na nani maana naye hatabiriki!
 
Kama nakumbuka vyema Biggie thru IK aliwaambia wale wanaokwenda kwenye barn bado wapo kwenye game na watakaa kule kwa 9weeks then ni sie wadau tutakuwa na mamlaka ya kumrejesha mmoja mjengoni kwa kura zetu ikuona kama amefanya vyema akiwa ndani ya Barn.

Hii twist aliizungumza wakati anawapeleka Sammington kwenye Barn.Ila nachoona hakijafanyika ni UTI kwenda kwenye msiba wa babae au ameghairisha kwenda??

Mkuu asante sana, hii ilinipita. Sasa angalau nitakuwa ninaelewa ni nini kinaendelea. But on the other hand sioni kama ni fair kwa wale ambao bado wako ndani ya Jumba. Hawa walio kwenye Barn nimeona kama vile wana-nominate kwa kuwa-target watu fulani, kitu ambacho sioni kama fair.

Lakini pia twist hii ni nzuri kwa kuwa walio ndani ya Jumba watashindwa kuaminiana. Kama watu wako kwenye alliance moja, na wamekubaliana kuwa-target housemates fulani, halafu usiku BB anatangaza walio up for eviction, wanajikuta members wa alliance yao wako up for eviction, na kumbe kura nyingi zimetoka kwenye barn. Ikitokea hali hiyo basi kila mtu anakuwa hamwamini mwenzake, na huo ndio utakuwa mwanzo wa kwenda solo.
 
Ngoma ya wiki hii ni nzito sana: Munya vs Sheila.

Munya akipona basi jamaa atafika mbali sana. Najua Nigeria wata-gang up against Munya kwa kuwa wanajua kwamba Sheila ndio confidant pekee wa Uti, na Sheila akitoka basi Uti atafuata kwa kuwa yanaweza kutokea yale yaliyotokea BBA season 3 siku Lucile (Namibia) alipotoka halafu Uti akafanya fujo sana.

Jumapili itakuwa tamu sana kuona nani anatoka.
 
Mkuu asante sana, hii ilinipita. Sasa angalau nitakuwa ninaelewa ni nini kinaendelea. But on the other hand sioni kama ni fair kwa wale ambao bado wako ndani ya Jumba. Hawa walio kwenye Barn nimeona kama vile wana-nominate kwa kuwa-target watu fulani, kitu ambacho sioni kama fair.

Lakini pia twist hii ni nzuri kwa kuwa walio ndani ya Jumba watashindwa kuaminiana. Kama watu wako kwenye alliance moja, na wamekubaliana kuwa-target housemates fulani, halafu usiku BB anatangaza walio up for eviction, wanajikuta members wa alliance yao wako up for eviction, na kumbe kura nyingi zimetoka kwenye barn. Ikitokea hali hiyo basi kila mtu anakuwa hamwamini mwenzake, na huo ndio utakuwa mwanzo wa kwenda solo.
Mtu wangu hapa ni ndo nilipoona hii twist tamu ndo mana Mwisho aka Nomand ( according to yacob dissection on hse mate) hakutaka kuwa kwenye makundi ndio inayomsaidia na ukaribu wake kwa Merly..
J2 itakuwa tamu sana naona bora munya akaunganike na tatiana kule na anaonekana ni threat sana huyu munya..
 
Katika zile popularity vote za wk jana ..hapo chini ndo pananipa mashaka na Munya kuwa anatisha kwa kukubalika nje ya nchini kwake
Meryl_Munya_Yacob_graph_lg.jpg

Last week you voted to save Meryl, Munya or Yacob. This graph shows that Yacob had the least number of popularity votes, while Meryl had three and Munya had the most, at 12.

Munya was the most popular Housemate with 12 countries voting to save him, while Meryl had three countries voting to save her and Yacob received zero popularity votes

Therefore, because he received the fewest country votes, Yacob has been evicted.

Munya

The countries that voted to save Munya were: Botswana, Ethiopia, Ghana,
Malawi, Mozambique, Namibia, South Africa, Tanzania, Zambia, Zimbabwe, Uganda and the Rest of Africa.

Meryl
The countries that voted to save Meryl were: Angola, Kenya and Nigeria.
 
Katika Diary session leo naona Sheila amesoma nyakati n she must b worried safari ndo imewadia
Sheila told Big Brother that the Big Brother All Stars Radio Task was exactly what she wanted because each Housemate will have their "15 minutes of fame". She was a bit disappointed with the 75 percent wager but respected Housemates' decision. Sheila felt that relationships in the House have broken down and the House was virtually divided into two groups. She mentioned that Paloma had been grumpy the whole day. She was of the opinion that Paloma was still upset over her altercation with Uti in the Kitchen, on Monday. With regard to nominations, Sheila speculated that Jen could have saved Code and replaced him with her.
This is wot Jen did in the evening replacement
 
40465_425286333810_88087338810_5096030_2930875_n.jpg

Dah Shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiii wabongo tunaolewa duh haya ndo matunda ya BBA au mtoto kafwata security ya mpunga ( Mshiko) kwa Kelvin
Last Saturday (21 Aug) while at the Ogus Baba Laugh Goes On comedy club in Port Harcourt, Big Brother Revolution winner, Kevin Chuwang Pam and his lady friend, and Revolution contestant Elizabeth Gupta got up on stage and performed a track together.

Nigeria's biggest comedian, Ali Baba introduced the couple to the 2000 strong crowd. Once they'd finished performing "Una Pata Mambo" (Anything you want, right there you get it), Kevin went down on one knee and proposed to Elizabeth. He said he kept it simple and just asked: "Elizabeth, will you marry me".

The crowd started screaming: "say yes, say yes, say yes" and obviously she did. Kevin then says a woman broke free from the crowd, ran onto the stage and congratulated them both with a huge hug
 
Katika zile popularity vote za wk jana ..hapo chini ndo pananipa mashaka na Munya kuwa anatisha kwa kukubalika nje ya nchini kwake
Meryl_Munya_Yacob_graph_lg.jpg

Last week you voted to save Meryl, Munya or Yacob. This graph shows that Yacob had the least number of popularity votes, while Meryl had three and Munya had the most, at 12.

Munya was the most popular Housemate with 12 countries voting to save him, while Meryl had three countries voting to save her and Yacob received zero popularity votes

Therefore, because he received the fewest country votes, Yacob has been evicted.

Munya

The countries that voted to save Munya were: Botswana, Ethiopia, Ghana,
Malawi, Mozambique, Namibia, South Africa, Tanzania, Zambia, Zimbabwe, Uganda and the Rest of Africa.

Meryl
The countries that voted to save Meryl were: Angola, Kenya and Nigeria.

Mkuu wangu nikiangalia hiyo pattern ya upigaji kura sioni kama Sheila atapona. Tatizo ninaliona kwa Sheila amejiweka wazi kwenye alliance na amekuwa na bifu na camp nyingine. Ukiangalia upigaji kura kuna ka-pattern ka aina fulani. Chances za Sheila kwenda kwenye barn ni kubwa sana.

Halafu kinachonishangaza kwenye hiyo pattern ya kura ni kwamba, hivi inakuwaje Ethiopia wamnyime kura Yacob? Inakuwaje Meryl hakupigiwa kura na Namibia? Hiyo pattern ina ashiria kitu kibaya na ninazidi kumuogopa Munya. Sijajua ni kitu gani hasa ambacho kinawavutia watazamaji. Maana alishawatukana fans wake na wapiga kura, mara kawaomba radhi, mara kagombana, mara kakimbia uchi, yaani ni vituko tu.
 
40465_425286333810_88087338810_5096030_2930875_n.jpg

Dah Shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiii wabongo tunaolewa duh haya ndo matunda ya BBA au mtoto kafwata security ya mpunga ( Mshiko) kwa Kelvin
Last Saturday (21 Aug) while at the Ogus Baba Laugh Goes On comedy club in Port Harcourt, Big Brother Revolution winner, Kevin Chuwang Pam and his lady friend, and Revolution contestant Elizabeth Gupta got up on stage and performed a track together.

Nigeria's biggest comedian, Ali Baba introduced the couple to the 2000 strong crowd. Once they'd finished performing "Una Pata Mambo" (Anything you want, right there you get it), Kevin went down on one knee and proposed to Elizabeth. He said he kept it simple and just asked: "Elizabeth, will you marry me".

The crowd started screaming: "say yes, say yes, say yes" and obviously she did. Kevin then says a woman broke free from the crowd, ran onto the stage and congratulated them both with a huge hug

Niliwahi kusema wakati wa BBA Revolution kwamba dada yetu alikuwa ni SITAKI NATAKA. Kweli Elizabeth ana matatizo kichwani na pia Kevin ana roho ngumu (au niseme ni king'ang'azi kama nilivyokuwa nikimwita zama zile). Dada yetu alikuwa anamkandia mara kajamaa kafupi, mara sijawahi ku-date mvulana black, mara sijui nina boyfriend wangu nje ya jumba. Leo hii akiwekewa clips zote alizokuwa anamkandia Kevin sijui atasemaje? Kaazi kwei kwei!
 
Hii confusion ndio niliyokuwa ninasema kwamba inanogesha game kwa kuwa ndani ya Jumba watu watakuwa hawaaminiani tena:

Sheila and Meryl confided in each other about how nominations went and who could Jen have put up for possible Eviction. Sheila mentioned she had a hunch she was in danger of leaving the House.

She added that it didn't make sense for the Housemates to keep nominating Munya, every week, when he kept bouncing back. Sheila speculated on who could have nominated him because she didn't, neither did Uti, Mwisho nor Meryl. She was "surprised why the other guys hated Munya so much". Meryl agreed that "they genuinely don't like him".

What Sheila and Meryl are not aware of is that only 2 Housemates nominated Munya, Paloma and Jen. The rest of the Nominations came from the Barn. Hannington told Big Brother he thought Munya "acted like a fool around Jen" on Saturday Night, while Lerato "finds him annoying". Yacob vowed to take revenge on Munya for nominating him.

Watu wa kwenye barn wakiendelea kum-target Munya, watazidi kumpa umaarufu unnecessarily na kataendelea kubaki ndani ya Jumba mpaka watakapoona kwamba kameshindikana. Ukisoma between the lines maneno ya Sheila ni kwamba ameishajiweka mkao wa kuondoka, kwa kifupi ni kwamba Sheila na baadhi ya housemates humo ndani wameishajua kwamba Munya anapendwa na Afrika, sasa whoever anaekwenda up against Munya, chances za ku-survive ni ndogo sana. Wiki hii itakuwa chungu kwa Sheila na inaweza kuishia kwa kwenda kwenye barn.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom