- Thread starter
- #161
Leo Jioni naona so far kwenye hizi Nomination zilizofanyika Watakao kuwa nyavuni ni
Code(4) ,K1(6), Munya (7) and Yacob (7) in alphabetical order
Kwa kuwa K1 ni HoH huenda akaacha msimamo uwe hivyo hivyo MUNYA NA YACOB WAWE KWENYE KIKAANGO AMBAPO YACOB KAOMBA KAMA WANANCHI MNAPENDA ACHUKUE USHINDI MPIGIE KURA ABAKI LAA AMECHOKA KUKAA NDANI KWA MIEZI 3 PASIPO KUTOKA NA KITU NI BORA AKATOKA MAPEMA KAMA HATAKUWA MSHINDI...Hajui kama kuna barn hse kweli kilio tu
Sheria inambana, lazima abadilishe msimamo. Akiamua kuacha kama ilivyo, maana yake ni kwamba na yeye anakuwa up for eviction.