senator
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 1,924
- 66
Keil ni kweli kabisa naona nafasi ya Sheila ni ndogo ingawa nampigia kura japo aendelee kuwepo na tumpunguze threat Munya.Katika hiyo pattern sijui inakuwaje nchi husika kutokumsupport mtu wao,nadhani kuna baadhi ya nchi hakuna muamko wa BBA kama ilivyozama za kina mwisho na richard...kuna wengi hta hapa bongo wanakuuliza hivi bigbro imeanza?! Ni kweli watu wanatofautiana interests.Nilimwona Yacob alipata mshangao alipomuuliza tati kuwa hata hizi nomination za barn hse zinacount akaambiwa ndio...hapo ndo ndani wanapoteana kabisa kwa kuona hii inakuwaje?!Kama EA tutavote kwa Sheila kutaweza kuleta upinzani najua Naija huenda wakamvote Sheila pia..na kama alliance yake ya Meryl na lerato itavote kwake kutakuwa na shughuli pevu sunday!..Lets wait n see.Kutakuwa kutamuu sana wakibaki saba ndani na saba kwenye Barn sipati picha watakavyoogopana ndani ya mjengo