BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

Status
Not open for further replies.
Keil ni kweli kabisa naona nafasi ya Sheila ni ndogo ingawa nampigia kura japo aendelee kuwepo na tumpunguze threat Munya.Katika hiyo pattern sijui inakuwaje nchi husika kutokumsupport mtu wao,nadhani kuna baadhi ya nchi hakuna muamko wa BBA kama ilivyozama za kina mwisho na richard...kuna wengi hta hapa bongo wanakuuliza hivi bigbro imeanza?! Ni kweli watu wanatofautiana interests.Nilimwona Yacob alipata mshangao alipomuuliza tati kuwa hata hizi nomination za barn hse zinacount akaambiwa ndio...hapo ndo ndani wanapoteana kabisa kwa kuona hii inakuwaje?!Kama EA tutavote kwa Sheila kutaweza kuleta upinzani najua Naija huenda wakamvote Sheila pia..na kama alliance yake ya Meryl na lerato itavote kwake kutakuwa na shughuli pevu sunday!..Lets wait n see.Kutakuwa kutamuu sana wakibaki saba ndani na saba kwenye Barn sipati picha watakavyoogopana ndani ya mjengo
 
Niliwahi kusema wakati wa BBA Revolution kwamba dada yetu alikuwa ni SITAKI NATAKA. Kweli Elizabeth ana matatizo kichwani na pia Kevin ana roho ngumu (au niseme ni king'ang'azi kama nilivyokuwa nikimwita zama zile). Dada yetu alikuwa anamkandia mara kajamaa kafupi, mara sijawahi ku-date mvulana black, mara sijui nina boyfriend wangu nje ya jumba. Leo hii akiwekewa clips zote alizokuwa anamkandia Kevin sijui atasemaje? Kaazi kwei kwei!
Nakumbuka sana hizo kauli zake mtoto wa kichaga huyu alikuwa analeta nyodo za kimarangu wakati alikuwa ameoza kwa Kijana mzuri wa 9ja.Nasikia Latoya anatarajia kuolewa mwezi wa November na mbongo ambae ndio baba wa mtoto wake...
 
Kuna member aliuliza kwanini Jen alijitoa mwenyewe kwenye BBA The Revolution? Jen mwenyewe ameanza kutoa hint na niliwahi kugusia huko nyuma kwamba kilichomtoa ni conflict ya wazazi ambayo ilikuwa inatishia kuvunjika kwa ndoa.

Jen sobbed in Meryl’s arms as thoughts of her conflict with her family engulfed her.

The Mozambican lass confided in her Housemate that she had not even told her parents that she would be on All Stars because she was not in talking terms with them.

“I didn’t even do anything bad but I had to make my own decisions so I just had to cry about it,” she said to Meryl. She added that her father didn’t even know she smoked and was curious about how he was reacting towards the scenes from the Show.

Meryl said she shouldn’t be too harsh on herself because she was living her own life.

“Parents should let their kids live their own lives because what happens if you wake up one day and they are not there, how do you live again,” Meryl queried.

She added that she hoped Jen’s dad was watching how his daughter was feeling because she’ll not always be a 'daddy’s girl'.

Meryl then gave her a shot of Tequila and begged her to snap out of her gloom.

Kwa hiyo this time msalaba uko kwa Jen mwenyewe, maana last year baba alilalamika kwamba mama na binti walimzunguka na mzee akatishia kuvunja ndoa iwapo binti asingerudi nyumbani. Watoto wakishavuka miaka 18 wanakuwa na maamuzi yao binafsi, mzazi hana sababu ya kuingilia decisions za mtoto.
 
Katika zile popularity vote za wk jana ..hapo chini ndo pananipa mashaka na Munya kuwa anatisha kwa kukubalika nje ya nchini kwake
Meryl_Munya_Yacob_graph_lg.jpg

Last week you voted to save Meryl, Munya or Yacob. This graph shows that Yacob had the least number of popularity votes, while Meryl had three and Munya had the most, at 12.

Munya was the most popular Housemate with 12 countries voting to save him, while Meryl had three countries voting to save her and Yacob received zero popularity votes

Therefore, because he received the fewest country votes, Yacob has been evicted.

Munya


The countries that voted to save Munya were: Botswana, Ethiopia, Ghana,
Malawi, Mozambique, Namibia, South Africa, Tanzania, Zambia, Zimbabwe, Uganda and the Rest of Africa.

Meryl
The countries that voted to save Meryl were: Angola, Kenya and Nigeria.

Yacob hata nchi yake haikum-support! Hii noma! Naisubiri jumapili kwa hamu nione Munya kama ataibuka kidedea tena..
 
Mwisho kawa HoH this week! Congrats to him.. Tusubiri jumatatu kwenye 'save and replace'.
 
Mwisho kawa HoH this week! Congrats to him.. Tusubiri jumatatu kwenye 'save and replace'.
Yaani ni burudani kweli kwa mbongo wetu kwanza this wk hayupo kwa eviction then next week wakimvote ataweza kujisave kwahiyo mpaka wk ya 8 kuleee mwisho anaendelea kula bata tu.Anakila dalili yakuwepo kwa Tano bora
 
Halafu leo DJ Steve wa bongo atakuwa akiwapa burudani
 
Keil ni kweli kabisa naona nafasi ya Sheila ni ndogo ingawa nampigia kura japo aendelee kuwepo na tumpunguze threat Munya.

Mkuu wangu Senator,

Nafasi ya Sheila naona ameimaliza mwenyewe baada ya kile ninachokiona mtandaoni kwamba alijifunika bed cover na Meryl na baada ya hapo ilisikika mihemo mizito toka chini ya hilo cover. Barnmates walidhani chini ya cover kuna mvulana na msichana, wahusika walipokuja kujifunua kwa mshangao mkubwa wakatoka wasichana wote. wote. Nigeria waliokuwa mstari wa mbele kumpigia debe Sheila imebidi waanze kutetea usagaji ama kujibu mashambulizi ya hoja za lesb, na hivyo kujikuta wanakosa nguvu ya kuendeleza kampeni.

Ana afadhali kwamba amefanya haya madudu siku ya Ijumaa usiku na hivyo muda wa kupiga kura uliosalia ni mfinyu, angeyafanya katikati ya week ingekuwa. Kwa masaa yaliyobaki kama kuna nchi ilimpigia kura nyingi, sidhani kama wanaweza ku-reverse kirahisi.

Kama EA tutavote kwa Sheila kutaweza kuleta upinzani najua Naija huenda wakamvote Sheila pia..na kama alliance yake ya Meryl na Lerato itavote kwake kutakuwa na shughuli pevu sunday!..Lets wait n see.

Sheila ana uhakika wa kura za Nigeria na Kenya, lakini hizo nyingine nina mashaka nazo sana. Halafu alliance ya EA ndani ya Jumba iko weak. Sheila hana imani na Mwisho, na alisham-nominate mara 1 au 2 kama sikosei. Pia Sheila alishasema kwamba Meryl ni mwepesi sana wa kubadilishwa msimamo, so the only person ambaye anaaminiwa na Sheila ni Uti, hawa wengine anawatumia ili afike kwenye final.
 
Ngoja tuone leo itakuwaje mana muda ndo huo unataradidi
 
Kajibu kwa utani sana kuhusu issue ya ijumaa ya usaganaji akasema some one was chewing a gum under the cover
 
Naona Tatiana amekuwa mpole leo, sijui alikuwa anategemea Munya ndo aende kwny barn! Ila Munya ana kismati sana.
 
Sheila_Munya_Graph_Art.jpg

Duh Kuna kazi kweli kukingoa kisiki Munya sijui itakuwaje baadae kwenye nomination....Ila naona wabongo wanamkubali munya kama inavyoonekana kwenye Votes
Last week you voted to save Munya or Sheila. This graph shows that Sheila had five popularity votes, while Munya had 10.

Munya was the most popular Housemate with 10 countries voting to save him, while Sheila had five countries voting to save her.

Therefore, because she received the fewest country votes, Sheila has been evicted.

Munya

The countries that voted to save Munya were: Botswana, Ghana,
Malawi, Namibia, South Africa, Tanzania, Zambia, Zimbabwe, Uganda and the Rest of Africa.

Sheila

The countries that voted to save Sheila were: Angola, Ethiopia, Kenya, Mozambique and Nigeria
 
Naona Tatiana amekuwa mpole leo, sijui alikuwa anategemea Munya ndo aende kwny barn! Ila Munya ana kismati sana.
Nadhan ilikuwa hivyo kumwona Munya kule ndani ila Gap aliyopewa Sheila ni kubwa.Ila naona Company imerejea kwa sheila na lerato mana Lesb Sheila kafurahi sana kumwona mwana alliance mwenzake ndani ya Barn Hse
 
Ni J3 nyingine ya week ya saba Nomination imefanyika vyema tu.Na waliongia nyavuni leo ni
MR Bushman..Mwisho (5)...HoH
Uti (4)
Code Sangare (4)

Katika moja ya sababu zake alizotoa Hoh alisema anataka amsave code ,ss sijui itakuwaje mana wote wapo nyavuni kama atafanya maajabu ya kuacha kama ilivyo itakuwa mshangao kwetu.BTW mwisho amenominate K1 and CODE
 
Nomination za leo zipo Hivi
MWISHO : K1 and CODE

PALOMA : MWISHO and MUNYA
UTI : CODE and PALOMA
MERYL : PALOMA and K1
CODE : MERYL and UTI
JEN : UTI and MERYL
MUNYA : MWISHO and UTI
K1 : MWISHO and MERYL
YACOB : MUNYA and CODE
HANNINGT :MWISHO and JEN
SHEILA : PALOMA and JEN
LERATO : JEN and CODE
TATIANA :MWISHO and UTI
 
Ni J3 nyingine ya week ya saba Nomination imefanyika vyema tu.Na waliongia nyavuni leo ni
MR Bushman..Mwisho (5)...HoH
Uti (4)
Code Sangare (4)

Katika moja ya sababu zake alizotoa Hoh alisema anataka amsave code ,ss sijui itakuwaje mana wote wapo nyavuni kama atafanya maajabu ya kuacha kama ilivyo itakuwa mshangao kwetu.BTW mwisho amenominate K1 and CODE

Nadhani ataji-save na kumuweka Kaone maana last time alim-nominate Kaone sbb alimuweka Meryl up for nomination..
 
Wale watoto wenye tabia za Kilesbian wanaichosha kuangalia BBA ina maana wanaonyesha hadharani kama wao ni wasagaji ?..:confused2:
 
Wale watoto wenye tabia za Kilesbian wanaichosha kuangalia BBA ina maana wanaonyesha hadharani kama wao ni wasagaji ?..:confused2:
Kawaida tabia ya mtu haiwezi kujificha uvumilivu ulimshinda sheila....wasingeweza kujificha na tabia za kipopompooo kwa muda wote wakiwa Kwenye nyumba ya kaka mkubwa.Mwenzie katoa machozi kwa kummic msagaji mwenzake aliyekwenda Barn Hse!
 
Nadhani ataji-save na kumuweka Kaone maana last time alim-nominate Kaone sbb alimuweka Meryl up for nomination..
Kwa Kuwa Mwisho hatabiriki nadhani anaweza kuacha hivyo wote wawe nyavuni..na kwajinsi navyoona upepo huenda ndo ikawa safari ya kurejea Barn Hse and then Lilongwe kwa bwana Sangare Code!
Pia huenda akajireplace na Paloma au Munya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom