BBA au B.com ya Open University of Tanzania zikoje?

Kama uko dar ndo naweza kukushaur usome out bt ka uko mikoan,nackia kuna usumbufu sana kwa wa2 wa mikoan.
 
Kipekee nashukuru kwa michango yenu wadau wa elimu. Tatizo nililolipata ni kwamba watz wengi tunaamini elimu ni lazima iwe instant. Pia mimi naona ni muhimu sana mtu kufanya simple analysis ya chuo na kozi unayotaka kusoma, ili baadaye usijutie kwa kutokufanya maamuzi sahihi.
 

nimekuelewa kiongozi na nashukuru kwa ufafanuzi.
"Uwezo wa kusoma bila kuingiliana na shughuli zangu za kila siku"
hapo ni mojawapo ya vgezo vinavyonisukuma kusoma distance learning
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…