Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama uko dar ndo naweza kukushaur usome out bt ka uko mikoan,nackia kuna usumbufu sana kwa wa2 wa mikoan.
kk kwa uzoef wangu,(master level) tatizo la OuT ni kuchelewesha/ kupoteza result za wanafunzi. Hilo linaweza kukufanya urudie mitihan au course km litatokea na likakosa ufumbuz na kukufanya ku extend mda wako wa kusoma. Faida ya open ni masomo hayataingilia shughuli zako kwa kias kikubwa ambazo ulikuwa unazifanya hapo awal, eg biashara, kaz kulea nk. Mitihan unafanya on demand km upo fresh, ukiona koz fulan nondo hujazimeza vya kutosha pepa huombi. Zipo nying sana.