Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
mkuu mbona umeipost hii thread asubuhi sana!inaelekea ulikuwa unatoka kula daku nn? huku unaangalia mambo ya danguroni BBAMwakilishi wa Tanzania,Dada yetu Feza Kessy muda huu katika jumba la BBA anaonekana akishikwashikwa, analiwa mate na anagugumia kuwa raha zinamzidia, muda wote camera za jumba hilo zikiwamulika wakiendelea na "maraha" hayo.
Shemeji yetu Oneil nae bila ajizi anaitumia nafasi hiyo sawasawa, may be atamwachia mimba dada yetu ili tupate damu kutoka Botswana. Yawezekana ikawa ni mbinu ya mashindano ili wasitolewe mapema, check it out!
Utamu unaendelea...
Hivi huu mchezo unafundisha nini?
BBA ndio nini ?
BBA ndio nini ?
Kwani nna ukurutu hata niwashwe? unanchekesha!
I can see Chadema inakuongezea swaumu bi dada....
Siku ikifutwa.....????
chadema hoi bin taabani, haina mbele haina nyuma, Josefina kawafanya wote kuwa misukule yake.
Hivi huu mchezo unafundisha nini?
Bavichaa tawajuwa tu, hata ukiwatia kwenye chupa watanyoosha kidole.
Faiza Foxy Mbona kukwaa la Siasa umekimbia?
chadema hoi bin taabani, haina mbele haina nyuma, Josefina kawafanya wote kuwa misukule yake.
Mwakani na mimi nitaenda
Mpaka nakuonea huruma...Unajikaza kuandika mashudu utafikiri gogo limekukwama chooni, unajikwamua kulitoa..
Vipi daku yako ulikula ipasavyo....Naona kwasasa umevimbiwa tuu unapumua kwa mdomo.....Haya mambo ya kubadilisha ratiba za milo ni hatari sana...
Faiza Foxy Mbona kukwaa la Siasa umekimbia?
Unajipa moyo...hongera FF
Na nlionao ulinipa wewe? unanchekesha!