Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
mkuu mbona umeipost hii thread asubuhi sana!inaelekea ulikuwa unatoka kula daku nn? huku unaangalia mambo ya danguroni BBAMwakilishi wa Tanzania,Dada yetu Feza Kessy muda huu katika jumba la BBA anaonekana akishikwashikwa, analiwa mate na anagugumia kuwa raha zinamzidia, muda wote camera za jumba hilo zikiwamulika wakiendelea na "maraha" hayo.
Shemeji yetu Oneil nae bila ajizi anaitumia nafasi hiyo sawasawa, may be atamwachia mimba dada yetu ili tupate damu kutoka Botswana. Yawezekana ikawa ni mbinu ya mashindano ili wasitolewe mapema, check it out!
Utamu unaendelea...