Bba: Feza Kessy anagawa uroda kwa Oneil (oneza)

Bba: Feza Kessy anagawa uroda kwa Oneil (oneza)

Mwakilishi wa Tanzania,Dada yetu Feza Kessy muda huu katika jumba la BBA anaonekana akishikwashikwa, analiwa mate na anagugumia kuwa raha zinamzidia, muda wote camera za jumba hilo zikiwamulika wakiendelea na "maraha" hayo.
Shemeji yetu Oneil nae bila ajizi anaitumia nafasi hiyo sawasawa, may be atamwachia mimba dada yetu ili tupate damu kutoka Botswana. Yawezekana ikawa ni mbinu ya mashindano ili wasitolewe mapema, check it out!
Utamu unaendelea...
mkuu mbona umeipost hii thread asubuhi sana!inaelekea ulikuwa unatoka kula daku nn? huku unaangalia mambo ya danguroni BBA

 
Wizara ya utamaduni habari na michezo sijui ipo wap? Halafu kinachonishangaza wakiondoka wanapewa bendera ya Taifa na wakirudi wanakuwa wanavaa hivi hupewa na nani?

Wenzetu kama Ethiopia yule dada anasubiria kuingia jela tu.
 
Mleta news umekosea,yule dada sio mwakilishi wa Tanzania,bali ni mshiriki kutoka Tanzania.
 
I can see Chadema inakuongezea swaumu bi dada....
Siku ikifutwa.....????

chadema hoi bin taabani, haina mbele haina nyuma, Josefina kawafanya wote kuwa misukule yake.
 
Bavichaa tawajuwa tu, hata ukiwatia kwenye chupa watanyoosha kidole.

Vipi daku yako ulikula ipasavyo....Naona kwasasa umevimbiwa tuu unapumua kwa mdomo.....Haya mambo ya kubadilisha ratiba za milo ni hatari sana...
 
Mpaka nakuonea huruma...Unajikaza kuandika mashudu utafikiri gogo limekukwama chooni, unajikwamua kulitoa..

Kwa lipi zaidi? naona limewakwama nyinyi, msiokuwa na haya wala msiojuwa vibaya.
 
Vipi daku yako ulikula ipasavyo....Naona kwasasa umevimbiwa tuu unapumua kwa mdomo.....Haya mambo ya kubadilisha ratiba za milo ni hatari sana...

Kwaresima umeisahau?
 
Kuna member hapa huwa nawaheshimu sana kwingine,ila kwenye huu mchezo wa kishetani huwa nawadharau sana wanavyoshabikia upuuzi huu,
 
Back
Top Bottom