ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Sana...labda ubahatike
Of course ni starehe kama starehe zingineMie kwa maoni yangu hata kama hujabahatika mapenzi ni matamu sana hata wale ambao hawajabahatika na baadhi kujiapiza sitaki kupenda tena bado hurudi tena ndani ya mapenzi.
Of course ni starehe kama starehe zingine
Hahahhahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Diamond ana bahati. Mimi Mama Gaude wangu aone picha nimemkumbatia Wema Sepetu hivyo, naweza kulazwa hospitali.
Money can't buy everything..
Baada ya tetesi nyingi hatimaye mjasiriamali na mama watoto wa mwanamuziki maarufu barani Afrika kutoka Tanzania Diamond - Zari Hassan, ameubwaga moyo na kuweka wazi hasa kilichowasibu wawili hao maarufu. Katika mahojiano maalum na Mariam Omar wa BBC, Zari ameulizwa iwapo Diamond mwenyewe alikuwa akitarajia ujumbe mzito wa kutengana alioutoa kwenye ukurasa wake wa Instagram.
No dogo atapigwa hela ndefu kisomi tu, nyie subirini hapa yule mwanamke hachomoki bure ashajua wapi atampatia timming, Diamond ajiangalie sana sasa hivi maana nikikumbuka ile action ya kusubiria X wake yuko mahututi fasta kamuacha domo madale akakimbilia hospitali kumdai Ivan mirathi .Duh mwanamke yuko vizuri kimaisha yaani watoto kasema hata baba asipotake CARE yy atatacare
Rayvanny alikuwa BBC, Zari naye BBC hapo hapo kuna tukio la uzinduzi wa album ya Diamond. Bado naamini hizi ni kiki tu na sidhani kama kuna kuachana.
Uko vizuri...More than good time IMO.