BBC Dira ya Dunia: Zari athibitisha kuachana rasmi na Diamond

BBC Dira ya Dunia: Zari athibitisha kuachana rasmi na Diamond

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] nyie bwana hivi who is Zari?

Kuna team ilikua na nguvu km team wema!
Kaeni kimya hapa!

Nguvu zinanihusu nini?
Vizuri hata umeandika ki pasti tensi.. unajua maana yake.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji2] si rahisi amuoe bado mdogo mnoo diamond afokasi kwenye carrier yake AY mwenyewe kaoa juzi!
Angekua mdogo angejaza watu mimba. Ana udogo gani chaaaa. Kila siku mdogo mdogo udogo wa ndani ya zipu au
 
Kwan alivyokua analala na kuamka naye hakujua km ana watoto watatu. Hata angekua na watoto kumi kama kuoana wangeoana tu.
[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji3] kuna wa kuoa na wa show off jumlisha Kiki za mjini Zari katumika kwa kiki tu !!!muda wake kwushney!!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji3] kuna wa kuoa na wa show off jumlisha Kiki za mjini Zari katumika kwa kiki tu !!!muda wake kwushney!!
Sawa muda wake umeisha lakini kajaaliwa watoto wawili. Kajipatia mtoto wa kike wa pekee.

Kama ni kutumika basi ni WIN WIN situation
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa majina naitwa John Hunter mtaalamu wa data&networking,natoa huduma ya
Unlimited internet
Kwa miezi 3 pasipo kikomo
_1mb/s 15,000
_4mb/s 30000.
Haina kikomo,tumia uwezavyo hata 1000GB kwa lisaa.....nione sasa.kwa wapenda video you tube bata kwaooo,wenye pc bataaa saana pakua apps za magb.

Unlimited data
Hi ni kwa mwaka 1
_1mb/s 40000.
_4mb/s 90000.
Piga sasa hivi
0621072026....kwa wanaohitaji tu.

Inatumika nchi yoyote na mtandao wowote.ipo spidi kuliko mtandao uutumiayo..
Wengi wanafurahia mtandao kwa unlimited data ,je wewe?
Kwani hili jukwaa la matangazo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa muda wake umeisha lakini kajaaliwa watoto wawili. Kajipatia mtoto wa kike wa pekee.

Kama ni kutumika basi ni WIN WIN situation
[emoji3] [emoji3] atajua mwenyewe na yeye ni incubator km zingine kafyatua apambane na hali yake!!!
 
[emoji3] [emoji3] atajua mwenyewe na yeye ni incubator km zingine kafyatua apambane na hali yake!!!
Kuna watu wanataman kufyatua hata kamoja tu na hawapati. Wacha ajifyatulie faraja yake.

Kwakweli hata anayemuona kachemka atajijua pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ingawa mambo yao tuwaachie wenyewe...

Ila Zarina, ingawa ana mapungufu yake kama binadamu yoyote, lakini ni mwanamke ambae kiasi fulani anajielewa na kujitambua...

Ukiachana na umri aliokua nao, anaonekana ni mwanamke muelewa asiyo tegemea pande zozote wala kujutia maamuzi yake...

Sijawahi kufuatilia mambo ya watu, but she looks and sound calm...

Cc: mahondaw
 
Kuna watu wanataman kufyatua hata kamoja tu na hawapati. Wacha ajifyatulie faraja yake.

Kwakweli hata anayemuona kachemka atajijua pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] atajua mwenyewe alijua kuzaa ndo kuolewa kweli ndoa bahati
 
[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] atajua mwenyewe alijua kuzaa ndo kuolewa kweli ndoa bahati
Ahahaaa halafu nashindwa kuelewaga hiyo statement ya kuzaa ndio kuolewa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani utafikiri wewe ndio zari unajua unachowaza kichwani mwako [emoji1][emoji1]
 
Mnenguaji huyo alijua akimzalia watoto wote hao mwisho wa siku atamtandika hela zote kumbe mtoto wa madale yuko makini sana aambulie nyumba tu na tuone kama atadai child support yeye si tajiri tusubiri
Nyumba ile km mondi aliinunua na kumkabidhi imekula kwake. Child support huyu dogo atoe mwenyewe hewala vinginevyo naona dalili ya kufunguliwa kesi apururwe visenti vyote.
Yule mwanamke ni nyoka swala la muda tu haondoki kibwege
 
Back
Top Bottom