BBC, ESPN na CAF wenyewe wote wanatambua hii ni fainali ya pili ya Simba katika mashindano ya CAF

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Nilidhani hili tulishalimaliza zamaaani ila naona bado kuna watu wanakataa kukubaliana na huu ukweli.

Sitasema mengi ila nitaambatanisha vyanzo vitatu vya kuaminika ambavyo vyote vimekiri kuwa Simba ilicheza fainali ya CAF Cup 1993.

Hii hapa chini ni article ya CAF baada ya mechi ya pili ya nusu fainali ya Stellenbosch vs Simba.



Hii chini ni article ya ESPN iliyoandikwa siku 3 zilizopita.


Hii hapa chini ni article ya BBC nayo ni ya wiki hii.



Sasa wewe mla mihogo upo Kigomsera ndani ndani huko unabishana na ESPN, chombo cha habari za michezo kinachoheshimika duniani. Unabishana na BBC chombo cha habari ambacho ukubwa wake unajieleza. Unafikia hatua ya kubishana na CAF wenye mashindano yao wenyewe. Hapo tukusaidieje?
 
The Citizen wameelezea kwa usahihi kabisa kuwa Simba inafika fainali kwa mara ya kwanza toka mashindano haya yafanyiwe mabadiliko mwaka 2021.

 
CAF cup, first ever cafcc
 
The Citizen wameelezea kwa usahihi kabisa kuwa Simba inafika fainali kwa mara ya kwanza toka mashindano haya yafanyiwe mabadiliko mwaka 2021.

View attachment 3318036
CAF wenyewe wamesema first ever cafcc,we umeshupaa,nilikwambia kule nyuma,1993 haiwezekani simba iwe ilicheza cafcc maana kombe hilo halikuwepo, ukisema simba walicheza final shirikisho 1993 maana yake timu nne zilicheza final 1993, maana ahly na african sports walicheza caf winners cup 1993
 
Sitapoteza muda wangu sana kwenye hili suala. Siku zote nimekuwa naliita CAF Cup wakati nyie vingunguti mmejaribu kulidogosha kwa kuliita sijui bonanza la Mashood Abiola Cup. Hayo ya sijui kuunganishwa tumekuwa tunayasema sana ila mkaweka pamba masikioni.

Namalizia tu kwa kukupatia hii quote yangu mwenyewe.
 
Lazimisha tu mambo
 

Attachments

  • Screenshot_20250427-224817.png
    2.3 MB · Views: 38
Hivi nyie timu WIVU FC/YANGA mtamiliki akili lini?kwani hizi records zenu za kubumba kuwa ni Mabingwa mara 23 ni kweli ligi yetu ilikuwa inajulikana NBC PREMIER LEAGUE kama ilivyo sasa?ukinijibu hili kwa usahihi nitakutoa kwenye kundi la wajinga
 
Wengi mpira wameujua baada ya Gsm kuinunua yanga hapa tunakesha na watoto wa 2000 wakina ngara23
 
Hivi nyie timu WIVU FC/YANGA mtamiliki akili lini?kwani hizi records zenu za kubumba kuwa ni Mabingwa mara 23 ni kweli ligi yetu ilikuwa inajulikana NBC PREMIER LEAGUE kama ilivyo sasa?ukinijibu hili kwa usahihi nitakutoa kwenye kundi la wajinga
Bingwa wa kandanda tanzania
 
umefafanua vyema mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…