Nilidhani hili tulishalimaliza zamaaani ila naona bado kuna watu wanakataa kukubaliana na huu ukweli.
Sitasema mengi ila nitaambatanisha vyanzo vitatu vya kuaminika ambavyo vyote vimekiri kuwa Simba ilicheza fainali ya CAF Cup 1993.
Hii hapa chini ni article ya CAF baada ya mechi ya pili ya nusu fainali ya Stellenbosch vs Simba.
View attachment 3317951
Hii chini ni article ya ESPN iliyoandikwa siku 3 zilizopita.
View attachment 3317970
Hii hapa chini ni article ya BBC nayo ni ya wiki hii.
View attachment 3317984
Sasa wewe mla mihogo upo Kigomsera ndani ndani huko unabishana na ESPN, chombo cha habari za michezo kinachoheshimika duniani. Unabishana na BBC chombo cha habari ambacho ukubwa wake unajieleza. Unafikia hatua ya kubishana na CAF wenye mashindano yao wenyewe. Hapo tukusaidieje?