BBC, ESPN na CAF wenyewe wote wanatambua hii ni fainali ya pili ya Simba katika mashindano ya CAF

Mleta mada unaskia pale ni wawili tuu wenye akili huwa unaelewa nini? Yan pale kwenye jaruba la janwan niwaiwli tuu wanaakil ha hao wawili skuhizi wameshazeeka wamewaacha wale wengi asilimia 99.999999 sasa nathan picha lipo hvyo hawatambui lolote.we unamfunga mtu gol 5 unaweka mpaka mabango barabaran we ukushtuka tuu kuwa washbk wao ni 🙉🙉
 
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi.
 
Huyu ni Jerry Muro akiungama dhambi kwa niaba ya uto.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…