BBC Focus on Africa wafanya mahojiano na Lissu, kupitia mahojiano hayo Lissu aonyesha how talented he is

BBC Focus on Africa wafanya mahojiano na Lissu, kupitia mahojiano hayo Lissu aonyesha how talented he is

Is he intending to dismantle the new railway line and sell the parts to vyuma chakavu? Indeed, that will be the opposite of what Magufuli has done!
What an idiotic interpretation...! Doing things differently doesn't necessarily mean undoing what's been done already, it is the approach that will be different. Kukurupuka hovyo will be something of the past!
Anyway I feel ashamed to write. In English the language of colonial masters. If you feel proud to know colonial masters language your head brain is not ok you need brain operation
For your information you barbarian, English happens to be one of the two official languages in the United Republic of Tanzania. If only you spent less time lurking in the dark, kidnapping innocent Tanzanians and subjecting them to unnecessary torture and possible death, you would know the benefit of mustering the international language that knows no physical bounds. All our laws, (starting with the mother of all Laws, the Constitution of the United Republic of Tanzania) are written in English and the Swahili version remains just what it is, a translation. People of your kind can never be good at anything that requires some degree of effort to learn, in short you enjoy basking in idiocy.
 
Kama ulisoma mpaka kidato cha nne kuna mada kwenye somo la Historia inaitwa Colonial Economy na nyingine Colonial Social Services... hao walikua wazungu wakafanya hivyo apa Afrika ila muda ukifika wakafurushwa .
Si ata reli ya Dar-Arusha tunaona wakoloni wanavyo ifufua tena.
 
Una tatizo.

Lissu amerudi juzi, hajakaa sawa, unataka aeleze kila kitu atavyofanya..., kwa nini huna subira na unakimbilia hitimisho. Kama hilo sio tatizo ni nini.

Hayo yote ya vitu unayoyaeleza kama uchumi, huo uchumi una maana gani kwa watu ambao ni 'mateka'. Huo uchumi una maana gani kwao.

Hivyo vitu, Zahanati, shule, barabara,n.k., zinazuiwa kuwepo watu wakiwa huru na haki zao bila kukanyagwa?
Huu sasa ndio ubishi sababu ya kupenda kubisha tu.
 
Uzuri hujulikani vizuri ndani ya CDM, na huna position ya maana, kwani ungefukuzwa chama kama atakavyofukuzwa Lissu, kama haluwa politically smart na akaanza kuzifungua Fundi alizozifunga Mbowe na genge lake la kifisadi
Uzuri wa bashite unajuwa utakuwa prime minister yaani panzi kama wewe unaropoka tu
 
BBC they are not voters Chadema General meeting are the ones to decide who will be their. Presidential Candidate.

Lisu is a conman conning international media as if he is already selected as a Chadema presidential candidate!! Which is not true!!

Europeans take care of your wallets . Lisu is a conman and a thief.Chadema has not yet selected their presidential candidate!!! Mind your pockets and wallets
Your just a lost case ignored and deleted
 
Tundulisu ni mwanaharakati wa kisiasa.

Kwa kawaida wanaharakati wa aina hii hawafai kuwa viongozi wa juu ktk nchi.

Wanaharakati wa kisiasa ndio wanasiasa pekee wanaoweza kuiona pepo.

Wao wameumbwa kusema ukweli na kupigania haki za Raia.
Kwenye kusimamia haki na ukweli yuko tayari hata kufa.

Ila ukimuweka kwenye nafasi ya ngazi za juu kwenye kuongiza nchi atafeli vibaya sana.

Hivyo mtu kama tundulisu hafai kuwa Rais.
Maoni yako kama mtu kama magufuli kawa raisi mwenye mihemuko hasira dharau mwongo kwa nini aside lissu
 
BBC wenyewe hawana market kwenye nchi yao, wamebakia kutoa majungu na propaganda kwenye African countries ambazo hazijitambui.
Wanasikilizwa dunia nzima waambie basi TBC wamuhoji haha
 
Maoni yako kama mtu kama magufuli kawa raisi mwenye mihemuko hasira dharau mwongo kwa nini aside lissu
Magufuri tulimjua tangu mwanzo kua sio mwanasiasa.
Tulimtabilia ubabebe kabla hajaapishwa kua Rais.

Ila tunduli yeye hata hiyo sheria yake aliosoma ni ya kisiasa.
Hivyo yeye anauwezo mkubwa wa kusimama mbele kuwaongoza watanzania kudai haki zao na usawa.

Lakini urais hatakiwi mtu wa kuongea saana kama alivyo lisu.
 
Back
Top Bottom