BBC: Jeshi la Msumbiji limemkamata Mtanzania ambaye ni kiongozi wa majihadi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Vikosi vya jeshi la Msumbiji vinasema kuwa vimemkamata kiongozi wa kijihadi, raia wa Tanzania, katika wilaya ya Nangade kaskazini mwa jimbo la Cabo Delgado

Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 39, anayejulikana kama Ali, alikamatwa pamoja na wanamgambo wengine wa Kiislamu sita wenye uhusiano na kundi la Islamic State, maafisa wa kijeshi wameeleza.

Amesema alikuwa mmoja wa viongozi wa wanamgambo ambao kazi yao ilikuwa kuajiri wapiganaji na kutekeleza mashambulizi ya moja kwa moja.

Kukamatwa kwake kunakuja huku kukiwa na hali mbaya ya usalama katika wilaya hiyo, na mfululizo wa mashambulizi ya wanajihadi katika siku za hivi karibuni.

Katika kipindi cha takribani wiki mbili, waasi hao wameshambulia vijiji saba vya Nangade, kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari.

Shambulio la hivi karibuni lilitokea katika kijiji cha Limualamuala siku ya Jumamosi na kusababisha vifo vya watu sita waliokuwa wakihudhuria sherehe za kufundwa.

Serikali ya Tanzania bado haijazungumza lolote kuhusu taarifa hizo.

Watanzania sijui mnafeli wapi hadi raia wenu wanakwenda kufanya haya mauaji ya kijihadi kwenye chi za watu, kuna huyu Mpare alikuja kulipua mabomu Kenya kwenye chuo cha Garissa...hapa pichani ana hadi kofia yenye bendera ya nchi yake.

_115695130_4c74623f-3e23-4820-be2a-a59e902b8c6e.jpg

Habari kwamba raia mmoja wa Tanzania ni miongoni mwa washukiwa watatu waliopatikana na hatia ya kupanga na kutekeleza shambulio katika chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya 2015 zimewawacha wengi na mshangao

Rashid Charles Mberesero ambaye alikamatwa na watu wengine wanne muda mfupi baada ya mkasa huo wa Garissa uliosababisha vifo vya wanafunzi 148, alipatikana na hatia hiyo wakati mahakama moja nchini Kenya ilipotoa uamuzi wake baada ya takriban miaka minne.

Katika uamuzi huo raia huyo wa Tanzania pamoja na Hassan Edin na Mohammed Abdi jina jingine Mohamned Ali Abikar walipatikana na hatia ya kupanga shambulio hilo chini ya ushirikiano wa wanachama wa kundi la Al-Shabab.

yule kijana wenu Salim Rashid Mohamed toka Mombasa ambaye ni kiongozi wa ISIS Iraq na Syria vp?

yule kijana wenu toka Mombasa ambaye ni kiongozi wa ISIS Syria vp?
Taarifa kaileta vizuri, lakini alipochemsha ni hapo kwenye ubaguzi wa kitaifa bila ya kusahau Kiongozi au Raia yeyote muungwana hapaswi kuwa na chembe chembe za:

1. Nazism
2. Racism
3. Tribalism
4. Gender descrimination
5. Religious descrimination.
 
Watanzania sijui mnafeli wapi hadi raia wenu wanakwenda kufanya haya mauaji ya kijihadi kwenye chi za watu, kuna huyu Mpare alikuja kulipua mabomu Kenya kwenye chuo cha Garissa...hapa pichani ana hadi kofia yenye bendera ya nchi yake.

_115695130_4c74623f-3e23-4820-be2a-a59e902b8c6e.jpg

Habari kwamba raia mmoja wa Tanzania ni miongoni mwa washukiwa watatu waliopatikana na hatia ya kupanga na kutekeleza shambulio katika chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya 2015 zimewawacha wengi na mshangao

Rashid Charles Mberesero ambaye alikamatwa na watu wengine wanne muda mfupi baada ya mkasa huo wa Garissa uliosababisha vifo vya wanafunzi 148, alipatikana na hatia hiyo wakati mahakama moja nchini Kenya ilipotoa uamuzi wake baada ya takriban miaka minne.

Katika uamuzi huo raia huyo wa Tanzania pamoja na Hassan Edin na Mohammed Abdi jina jingine Mohamned Ali Abikar walipatikana na hatia ya kupanga shambulio hilo chini ya ushirikiano wa wanachama wa kundi la Al-Shabab.

Wanaofeli ni zile nchi ambazo watanzania wanakwenda kufanya ugaidi, mbona wasibaki hapa Tanzania kufanya huo ugaidi, wanajua uimara wa vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama, walijaribu kule Kibiti, kilichowakuta ndicho kilichowafanya kukimbilia Msumbiji.
 
Taarifa kaileta vizuri, lakini alipochemsha ni hapo kwenye ubaguzi wa kitaifa bila ya kusahau Kiongozi au Raia yeyote muungwana hapaswi kuwa na chembe chembe za:

1. Nazism
2. Racism
3. Tribalism
4. Gender descrimination
5. Religious descrimination.

Hehehehe Hamna sehemu Watanzania mumebaguliwa, ni taarifa tu za ndugu zenu wanavyokwenda kulipua majirani zenu kwa mabomu wakijiita majihadi na wafia dini na badala mjiulize tatizo liko wapi mnalialia kubaguliwa. Mtu mpaka anakwenda kuwa kiongozi wa wanaochinja watu Msumbiji yaani hatari sana, hayo majihadi ya Msumbiji ukisoma wanachokifanya huko, ni majanga.

Mwingine huyo kaja kulipua mabomu kwenye chuo cha Kenya.
 
Fuk terrorists,i really hate terrorists everywhere in the world!
Is just that sina uwezo but ningekua nayo ningeua majihadi maelfu,nisaidie dunia,nachukia hao maharamia sana!i really hate terrorists!
 
Taarifa kaileta vizuri, lakini alipochemsha ni hapo kwenye ubaguzi wa kitaifa bila ya kusahau Kiongozi au Raia yeyote muungwana hapaswi kuwa na chembe chembe za:

1. Nazism
2. Racism
3. Tribalism
4. Gender descrimination
5. Religious descrimination.
Na walivyo matribalist sasa, ndio maana wanatamani sana udini uwepo bongo,
Too late
 
Watanzania sijui mnafeli wapi hadi raia wenu wanakwenda kufanya haya mauaji ya kijihadi kwenye chi za watu, kuna huyu Mpare alikuja kulipua mabomu Kenya kwenye chuo cha Garissa...hapa pichani ana hadi kofia yenye bendera ya nchi yake.

_115695130_4c74623f-3e23-4820-be2a-a59e902b8c6e.jpg

Habari kwamba raia mmoja wa Tanzania ni miongoni mwa washukiwa watatu waliopatikana na hatia ya kupanga na kutekeleza shambulio katika chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya 2015 zimewawacha wengi na mshangao

Rashid Charles Mberesero ambaye alikamatwa na watu wengine wanne muda mfupi baada ya mkasa huo wa Garissa uliosababisha vifo vya wanafunzi 148, alipatikana na hatia hiyo wakati mahakama moja nchini Kenya ilipotoa uamuzi wake baada ya takriban miaka minne.

Katika uamuzi huo raia huyo wa Tanzania pamoja na Hassan Edin na Mohammed Abdi jina jingine Mohamned Ali Abikar walipatikana na hatia ya kupanga shambulio hilo chini ya ushirikiano wa wanachama wa kundi la Al-Shabab.

Ww vp!! Kwani Al Shaba bab wanaoua huko Somali hakuna mkenya hata mmoja?
 
Kwa Watanzania sielewi bifu yenu nini haswa, sisi kidogo itaeleweka tupo kwnye mapambano na hawa Mashababi ambao mkoa wetu mzima umejaa Wakenya wenye asili ya Kisomali, hivyo ni changamoto la kiaina maana wanajimix huko na kufanya brainwashing, ila nyie JWTZ haijajihusisha kwenye vita vyovyote dhidi ya magaidi, ila raia wenu ndio hao wamezagaa kwenye majirani zenu wakilipua mabomu na kufanya mauaji ya kijihad.
 
We ulitarajia awe raia wa nchi gani? Uovu ni wa mtu mwenyewe, hauhusiani na utaifa wake.
 
Vikosi vya jeshi la Msumbiji vinasema kuwa vimemkamata kiongozi wa kijihadi, raia wa Tanzania, katika wilaya ya Nangade kaskazini mwa jimbo la Cabo Delgado

Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 39, anayejulikana kama Ali, alikamatwa pamoja na wanamgambo wengine wa Kiislamu sita wenye uhusiano na kundi la Islamic State, maafisa wa kijeshi wameeleza.

Amesema alikuwa mmoja wa viongozi wa wanamgambo ambao kazi yao ilikuwa kuajiri wapiganaji na kutekeleza mashambulizi ya moja kwa moja.

Kukamatwa kwake kunakuja huku kukiwa na hali mbaya ya usalama katika wilaya hiyo, na mfululizo wa mashambulizi ya wanajihadi katika siku za hivi karibuni.

Katika kipindi cha takribani wiki mbili, waasi hao wameshambulia vijiji saba vya Nangade, kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari.

Shambulio la hivi karibuni lilitokea katika kijiji cha Limualamuala siku ya Jumamosi na kusababisha vifo vya watu sita waliokuwa wakihudhuria sherehe za kufundwa.

Serikali ya Tanzania bado haijazungumza lolote kuhusu taarifa hizo.

Hapo ndo mjue kuwa Tanzania tuna ma-spy kila mahali,huyo kijana alitumwa na intelligence ya nchi ili tukatafute njia ya kuicontrol nchi za kusini mwa Africa, ata hapo Kenya wapo wengi sana
 
Kwa Watanzania sielewi bifu yenu nini haswa, sisi kidogo itaeleweka tupo kwnye mapambano na hawa Mashababi ambao mkoa wetu mzima umejaa Wakenya wenye asili ya Kisomali, hivyo ni changamoto la kiaina maana wanajimix huko na kufanya brainwashing, ila nyie JWTZ haijajihusisha kwenye vita vyovyote dhidi ya magaidi, ila raia wenu ndio hao wamezagaa kwenye majirani zenu wakilipua mabomu na kufanya mauaji ya kijihad.
Wale magaidi waliokuwa wanasumbua Kibiti ww ndo uliwatoa na sio JWTZ? Kk wani magaidi huwa wanasababu wanapoua wananchi wasio na hatia?
 
Watanzania sijui mnafeli wapi hadi raia wenu wanakwenda kufanya haya mauaji ya kijihadi kwenye chi za watu, kuna huyu Mpare alikuja kulipua mabomu Kenya kwenye chuo cha Garissa...hapa pichani ana hadi kofia yenye bendera ya nchi yake.

_115695130_4c74623f-3e23-4820-be2a-a59e902b8c6e.jpg

Habari kwamba raia mmoja wa Tanzania ni miongoni mwa washukiwa watatu waliopatikana na hatia ya kupanga na kutekeleza shambulio katika chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya 2015 zimewawacha wengi na mshangao

Rashid Charles Mberesero ambaye alikamatwa na watu wengine wanne muda mfupi baada ya mkasa huo wa Garissa uliosababisha vifo vya wanafunzi 148, alipatikana na hatia hiyo wakati mahakama moja nchini Kenya ilipotoa uamuzi wake baada ya takriban miaka minne.

Katika uamuzi huo raia huyo wa Tanzania pamoja na Hassan Edin na Mohammed Abdi jina jingine Mohamned Ali Abikar walipatikana na hatia ya kupanga shambulio hilo chini ya ushirikiano wa wanachama wa kundi la Al-Shabab.

Vipi yule kiongozi mkubwa wa alshabab kule somalia anaitwa IMANi? Haya bas mkatae kuwa sio mkenya tuone

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom