BBC: Jinsi Rais Magufuli anavyopambana na corona na "mabeberu"

BBC: Jinsi Rais Magufuli anavyopambana na corona na "mabeberu"

Mpumbavu sana huyo jamaa, kwanza ni bonge la kilaza, kasoma Umoja Sekondari nakumbuka ndo ilikuwa ikiburuza mkia, alikuwa anajua kuzungumza kidhungu tu lakini kichwani jeupe kabisa.
Wewe uliyesoma IST mbona una maisha mabovu
 
Tangu alipotangaza kuwa ataruhusu nikuoe nilishangaa sana kuwa mambuzi wanamtumia
Well thats is an invalid statement. Na yeye hanijui wala simjui. Wewe hunijui..
Kulikuwa kuna haja ya kunitukana indirect?
 
Wamuache ajenge misingi ya uchumi huyu Sammy yuko hapa dar aitwe ahijiwe
Ahojiwe kwa kipi wakati huo ndio uhuru wa press. Kwanza ndio inasaidia kumjua vizuri 'beberu' ili upigane nae na kushinda.
 
BBC wako sahihi usitufanye sisi wajinga hata matamko yake hayo ya kuongea mambo hayo yapo youtube ,tatizo mnaropoka halafu hamwangalii impacts za baadaye ya maneno yenu
 
Naunga mkono kilichosemwa na BBC. Magufuli ni mjuaji, muongo sana, asiyependa kuambiwa ukweli na anaipeleka Tanzania kuwa nchi ya hovyo.

Ushahidi.
1. Siku moja tu baada ya hotuba yake zimepandishwa nyuzi humu na watanzania wazalendo kuonyesha namna alivyopotosha na kudanganya. Na wamekuja na facts.

2. Vyombo vya habari vya ndani kumkosoa ni mwiko.

3. Amekuwa mtu wa kumsema vibaya na hadharani mtangulizi wake JK. Ushahidi rejea hotuba yake ya kuupinga mradi wa Bagamoyo, na anapofanya mabadiliko ya kupindisha miradi.

4. Ni mtu asiye na takwimu sahihi za kidunia.

5. Waziri mkuu alisema kwa sasa tanzania ina wagonjwa wa covid 19 66, yeye kwa makusudi hakuliongelea hilo. Hataki kuusisitiza ukweli.

Rais Magufuli kiukweli ni muongo kwenye mengi na mficha hali halisi kwa manufaa yake ambayo hayana maana yoyote ile

NIPO NA BBC!
Hiyo taarifa nmeiona! Kama wewe ni mwelewa wa mambo kama hiyo taarifa ikisomwa na waafrika wote Magufuli hata akigombea urais wa afrika anashinda.

Kikubwa mwandishi kaeleza pande zote mbili za Magufuli, ingawa upande wa mazuri ndio umebeba asilimia nyingi.
 
Mpumbavu sana huyo jamaa, kwanza ni bonge la kilaza, kasoma Umoja Sekondari nakumbuka ndo ilikuwa ikiburuza mkia, alikuwa anajua kuzungumza kidhungu tu lakini kichwani jeupe kabisa.
Sasa kuna shida gani ya serikali kumnyan'ganya uraia na kumfukuza huyo journalist?

Tunaweza pia kuwapiga marufuku waandishi wa habari; Zuhura Yunus, Salim Kikeke na wengineo wasiingie nchini, kwani tutakuwa tumekosea nini? Mbona Trump alimpiga punch mwandishi wa habari wa CNN, sembuse sisi hao wachochezi?

Nimesha sema mara nyingi kuwa idhaa hizi za kiswahili kutoka nje zina malengo ya kutuvuruga sisi ili tuharibu amani na umoja yetu. Wamejaribu njia zote wameshindwa na sasa wameona wawatumie watanzania wenzetu kutufarakanisha.

Kwa hali hiyo mimi nasema hapa kama Tanzania itakuja kuwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe nasi tusisite kuwachukulia hatua hao watangazaji wote wa idhaa hizi za kiswahili kutoka nje na familia zao popote pale walipo duniani, kwani haitakuwa mbaya kuwadhuru wao, kwa vile wao nao lengo lao ni lile lile la kutumiwa na mabeberu kutuharibia sisi maisha yetu na yale ya vizazi vyetu kwa maslahi yao na ya mabeberu wao.

Hawa watu sio watu wa kuwachekea na kuwaona kama ni marafiki zetu, hapana na Nakataa kata kata, hawa watu popote pale walipo na lolote lile wanalo fikiria na kutenda ni jinsi gani watafanikiwa kutumaliza sisi. Lengo lao ni moja tu ni kuona Taifa la letu na watanzania wanahangamia.

Mimi nashangaa sana jinsi tunavyo sumbuka kuwasaka maadui zetu wakati maadui zetu tunaol nchini na ni ndugu zetu.

Tusiwakuze na kuwasifu hawa watu. Hawa hawako na sisi. Wameamua kushirikiana ma mabeberu kutuangamiza sisi.

Jambo jingine ni swala linalo huhusu hawa Kaim Balozi wa USA na Balozi wa UK. Kuna shida gani na wao kuwarudisha makwao ili serikali zao ziwalete wengine? Je, hiyo haiwezekani kwetu? Mbona Zambia ilmfukuza balozi wa Marekani kwa kuingilia mambo ya nchi yao, kwa nini sisi tushindwe? Kwani tuna pata faida gani kuwa na balozi hizo mbili?

Kama miaka yote hiyo hatukuwa na ubalozi wa Israeli na hatuja kosa kitu, kwanini tushindwe kuto kuwa ba balozi za UK na USA? Tutapungukiwa na nini? Kwani nchi yetu inawategemea sana waamerika na waingereza? Wana nini cha maana ambacho sisi hatuwezi pata nchi nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnataka kuifunga mdomo BBC kama mlivyofanya kwa vyombo vya habari vya ndani, nyie mnawaza kusifia muda wote.
 
Umemaliza kila kitu mkuu, kuna wakati naona bado hatujampata tuliyekuwa tunahitaji atunyooshe, JPM bado analea upuuzi mwingi inatakiwa aongeze volume wasikie vizuri.
 
Hivi hawa wanahabari wanaolipwa kwa us dollar huwa Wanafamilia zao na ndugu hapa nchini au wanauraia huko kwa mabosi wao.
 
Wanajukwaa !

Leo asubuhi siku happy kabisa baada ya kusoma makala ya hii ya mwandishi Sammy Awami nakala ndefu (long read) kama wanavyoziita kule BBC ya kutia huzuni,dhihaka, na udhalilishaji kwa Rais wa Tanzania imepakiwa na mtanzania mwenzetu tena mnyamwezi wa Tabora juu ya utendaji wa Rais wetu John Magufuli imeniumiza sana tena sana , kwa kuwa nitaandika machache na mods wanisaidie kuuga nakala yote ya English kutoka BBC.

Heading inasema -Tanzania's Magufuli -talking on coronavirus and imperialism

Nitatumia neno 'Eti' kuonesha mashaka makubwa ya mwandishi huyu.

Hoja

1. Eti Rais Magufuli anakosolewa kwa kurudiarudia kuwashambulia mabeberu na kutangaza kuwa ndani ya Afrika mashariki yeye tu ndio ameimaliza corona (huu ni upotoshaji Rais wetu amesema corona bado ipo na kutuwe makini kufuata kanuni za afya na tuchukue tahadhari)

2. Eti ametumia miaka mitano kujifanya mmajumui wa Afrika na kupambana na unyonyaji wa kimagharibi kwa kutumia ukatoriki ( si kweli rais wetu anaheshimu sana mahusiano mema na nchi za ulaya kama wahisani na marafiki ametuma mabalozi na kuwapokea kwa bashasha ikulu na kuwashirikisha kila kitu kwa mujibu wa sheria)

3. Mwandishi Sammy Awami anadai eti aliukataa mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo na kusema waliopitisha ni wehu (madman) akimlenga mtangulizi wake Jakaya Kikwete. (Hii si kweli huu makataba serikali ilifafanua ugumu wa vipengele vya ule mkataba ambao hata hivyo hatua za mwisho za kuupitisha zilikuwa bado)

3. Eti Rais wetu anandoto kubwa kupita kiasi/uwezo wa kimadiliko ambao unamfanya ajiamini zaidi na kubinya upinzani na habari huku ameongeza uchunguzi kwa wanao mipinga hasa waandishi wa habari na wanaharakati (hapa mwandishi ameonesha jinsi anavyo beba agenda zake maana yeye mwenyewe tangu afanye kazi hapa Tanzania hajasumbuliwa kwa lolote sasa mbinyo gani na lini alifatiliwa)

4. Eti Rais wetu hapendi kushirikiana na majirani wala hakusaisi mizozo ya mipaka kati ya Kenya na Zambia mipakani ( huu ni uongo na uzushi rais wetu amekuwa anatembelea majirani na marais wote majirani wamefika hapa na yeye kwenda kwao na mara nyingi, hata mzozo wa mipaka kipindi cha korona aliutolea kauli na ukaisha akiwa mkoani Singida na kile kikao cha wakuu wa nchi Afrika mashariki waziri Kabudi alikitolea ufafanuzi kuwa hatukuitwa )

5. Eti kuwa yeye na waziri mkuu wanapishana kauli kuhusu idadi ya corona ( hapa mwandishi hakufanya utafiti mdogo tu maana kasi ya maambukizi huapanda na kushuka sio static leo wanaweza wakawa hakuna kesho wakawa wengi au wakawa wengi na wakaisha hili ni jambo la kawaida)

6. Eti magufuli anaamini ushirikiano wa Afrika tu wazungu anawaona kama maadui - ( huu ni uchochezi hapa tunazo balozi za mataifa mbalimbali pia Rais amekuwa akiwaomba waje kungana na watanzania kupigania maendeleo kama marafiki)

Ubeberu sio tusi ni sawa na wao wanavyotuita wajamaa

Ubeberu ni upebari mkongwe sasa hapo tusi liko wapi

Capitalism -ubepari-capitalist-bepari
Imperialism -ubeberu-imperialist-beberu
Socialism-ujamaa-socialist -jamaa

So mh rais kuwaita mababeru sio kosa hata kidogo ni kama wao wanavyotuita wajamaa

WITO KWA WAZIRI KABUDI

Muiteni huyu mwandishi maana kituo chake cha kazi kiko hapa Dar mumuhoji kama mlivyomuhoji balozi wa U.S. ,m kimuacha kesho ataandika uongo tena

Chanzo BBC

USSR
Sammy Awami ndio wale wale. Anaandika kumfurahisha mwajiri wake.
 
Afrika hakuna kiongozi anayeweza ushindana na mabeberu tunajidanganya tu! Mfano vyombo vyote vya mawasiliano tunavyo tumia ni vyao, macamera yao huko angani yameelekezwa kwetu uchafu wote tunao fanya wanauona wakiamua kuuweka hadharani ni kiongozi gani atakuwa salama?
 
Back
Top Bottom