Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Shelli ni ya wapi kwanza? Umesikia tunasema kampuni za China au India?Hata failed states kama Libya zinazalisha na kuuza mafta..,nawashangaa mnapoona kama ni big deal kwa urusi kuuza mafta!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
SASA si wakanunue huko, Usichojua nikuwa Urusi yupo karibu yao na stable hata bei zake ni affordableHata failed states kama Libya zinazalisha na kuuza mafta..,nawashangaa mnapoona kama ni big deal kwa urusi kuuza mafta!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji28]Mbona ata Nigeria anauza mafuta[emoji28][emoji28]