Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
kwahiyo Wahindi hawajui kuandika umetoa wapi hii argument yako? Ukiacha English practitioners UK kuna nchi ina madaktari wengi huko zaidi ya India toka Commonwealth?Uingereza inashindwa kuchukua madaktari Cuba sababu ya language barrier, Wahindi ni shida sana kuwasiliana na wagonjwa. Kenya wana Kiingereza kizuri hasa kwa kuandika.
I
"Tanzania imeendelea kuwa nchi kiongozi barani Afrika katika nyanja ya usalama na mbia muhimu sana wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani. Majeshi yetu ya ulinzi yana historia ndefu ya kufanya kazi bega kwa bega,” amesema Jenerali Townsend.Wabongo mambo mengine yakawaida kabisa mnashobokea hadi mnatia aibu.
Tanzania na Marekani zaanza mafunzo ya kijeshi ya pamoja
Tanzania na Marekani zimeanza kuendesha mafunzo ya kijeshi kwa askari wa majeshi hayo kwa lengo la kuwajengea uwezo katika, ulengaji shabaha, utoaji matibabu na mbinu za kimapambano kulingana na...www.mwananchi.co.tz
Cc Geza Ulole"Tanzania imeendelea kuwa nchi kiongozi barani Afrika katika nyanja ya usalama na mbia muhimu sana wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani. Majeshi yetu ya ulinzi yana historia ndefu ya kufanya kazi bega kwa bega,” amesema Jenerali Townsend.
Hii kauli wangeiskia wakenya wangeanzisha Uzi wa kupinga
I’m telling you, kulikua na complains nyingi sana. Kumbuka walikua wanafanya mass recruitment ya madaktari kutoka India. Sasa hivi wanageukia nchi za Commonwealth Africakwahiyo Wahindi hawajui kuandika umetoa wapi hii argument yako?
kwahiyo Wahindi hawajui kuandika umetoa wapi hii argument yako? Ukiacha English practitioners UK kuna nchi ina madaktari wengi huko zaidi ya India toka Commonwealth?
unajisumbua kumuwekea huyo link! kama sio maPicha, ni kazi bure.
I don’t even know why I’m punishing myself for with thisunajisumbua kumuwekea huyo link! kama sio maPicha, ni kazi bure.
Maswali ya kujiuliza, je wataalam wa maswala ya afya nchini Kenya, wapo wa kutosha???
Maana bara la Afrika ni la ajabu sana. Mfano Malawi ina madaktari wengi wanaofanya kazi Uingereza kuliko wanaofanya kazi nchini mwao.
Habari wanajamvi, naitwa Dr Kay, ni daktari wa binadamu ninayeishi na kufanya kazi nchini Uingereza.Nimesikiliza dira ya dunia kwenye matangazo ya leo wanasema Kenya na uingereza wameingia makubaliano ambapo kupitia hayo makubaliano, madaktari wasiokua na ajira watapatiwa ajira hizo nchini uingereza.
Naomba viongozi wetu waige ubunifu wa aina hii. Tusibakie na ubunifu wa kudhibiti wapinzani na kupandisha tozo mara dufu.
Nadhani tungeweza kuongea vizuri na viongozi wa dunia tungetafutia ajira walimu wa kiswhili, maana ndiyo bidhaa tunayoimiliki kwa wingi na kwa uhakika.
Inasikitisha pale unamsikia kiongozi mwenye dhamana akiwalaumu vijana kwamba hawana uthubutu na ubunifu wakati wao wameshindwa kubuni fursa za ajira kwa vijana.
Ni kweli mkuu lakini na wa Tanzania wanaajiriwa pia ila hawatangaziNa miezi michache iliyopita Serikali ya UK imeanza kuajiri madaktari, manesi na wengine kwenye field hiyo kwa wingi.
Acha hizoThis corrupt government is very busy to wipe Chadema, very sad but it’s the TRUTH.