BBC media na Kanisa Katoliki

Annunaki

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
2,042
Reaction score
3,674
Hivi hiki chombo cha habari cha Waangalican hakina habari za kuandika kuhusu dini duniani tofauti na za kanisa katoliki.

Hiki chombo sioni kikiandika kuhusu angelican ambayo ndiyo maskani yake kabisa, au Buddha, Uislam, Tao au hata Zen n.k.

Madhehebu ya dini ni mengi tu duniani lakini jamaa kutwa wamekomaa na Katoliki tu.

Itafikia hatua hata Padre au askofu akikohoa wakati wa ibada wataandika.

Duniani kuna Madhehebu zaidi ya 100, ila jamaa wamekomaa na katoliki tu.

BBC si watoe msimamo wa madhehebu mengine kuhusu hayo matakataka.

Kanisa katoliki haliwezi kubariki hayo matakataka.
 

Attachments

  • Screenshot_20231112_123129_Chrome.jpg
    159.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_20231112_123243_Chrome.jpg
    141 KB · Views: 4
  • Screenshot_20231112_123325_Chrome.jpg
    162.2 KB · Views: 7
  • Screenshot_20231112_123526_Chrome.jpg
    173.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_20231112_123858_Chrome.jpg
    183 KB · Views: 5
  • Screenshot_20231112_123941_Chrome.jpg
    145.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20231112_124059_Chrome.jpg
    139.1 KB · Views: 5
Mbona wanatangazaga na ya madhehebu mengine?

Ni habari hupendi kuzisoma, hukutarajia Papa azifanye (you being Catholic) au unahisi wanatangaza habari za uongo?
 
Andika na wewe, kama wao imewapendeza kuandika juu ya RC nawe andika juu ya Judaism, Uislam et al
 
Kwani hizi habari ni za uongo au ukweli tuanzie hapo?
 
Huwezi kupangia media chakuandika. Media huzingatia walaji wao. Tatizo lako unaamini taasisi inayoongozwa na Mwanadamu kuwa haiwezi kukosea. Hakuna kabisa ambalo halina madhaifu duniani kwasababu kiongozi akishakuwa Mwanadamu Kuna Mambo mengi
 
Huwezi kupangia media chakuandika. Media huzingatia walaji wao. Tatizo lako unaamini taasisi inayoongozwa na Mwanadamu kuwa haiwezi kukosea. Hakuna kabisa ambalo halina madhaifu duniani kwasababu kiongozi akishakuwa Mwanadamu Kuna Mambo mengi
Nakubaliana na ww, vipi huko kwingine akuongozwi na mwanadamu, hakuna walakini au mapungufu? Mbona hawaandiki.
 
Wanaandika habari nyingi za kupotosha, wanaweza kumwoji Papa kitu kuhusu ushoga baada wakaigeuza hiyo habari kwa kupotosha
 
BBC wanajua wapi makanisa yetu ya uchochoroni mpaka waje waandike habari zake? Katoliki ni kanisa la ulimwengu habari zake zina mvumo mkubwa. Kwanza ijue roman catholic na nguvu zake duniani ndin utajua kwa nini BBC wanafuatilia sana habari zake
 
Watu hawaelewi,Roman katoliki ni dini nyingine kabisa.Yaa I kuna Usilam,Ukristo na dini ya Roman Katoliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…