Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Vijan wa ovyo mnawaza mapenzi na mahaba Sina mda wa kubishana maana huna hoja zaidi ya mipashoSi kwamba uwezi, unaweza ila huna cha kujibu.
utajibu nini wakati ulichokiandika kimejengwa katika msingi ya hisia na MAHABA!!.
siku hizi wazee ni watu waajabu sana.😊😊