BBC: Meli ya kivita ya Urusi yalipuliwa

BBC: Meli ya kivita ya Urusi yalipuliwa

Putin anazidi kuaibika! Mpaka sasa ameshapoteza askari zaidi ya askari elfu 10 ikiwemo majenerali zaidi ya watano.
Kweli mdharau mwiba mguu huota tende
Ni sahihi kabsa Ila kwa upande mmoja wa sarafu tugeuze upande wa pili wa sarafu tutapata ukweli wote
 
Kibao kinaaendelea kugeuzwa......ukiingia kushambulia watu kwenye nchi yao unaua mama zao, baba zao, watoto wao kwenye mauaji ya kimbari, jiandae kwa lolote, watapigana mpaka afe wa mwisho...

A Russian landing ship has been destroyed and two other boats have been damaged in the occupied Ukrainian port city of Berdyansk, say Ukrainian officials.
The Ukrainian military posted footage early on Thursday and said the Orsk had been hit by its forces.

Details of what caused the explosion and fire on board the ship are unclear.

Berdyansk, which is west of the besieged port of Mariupol, was seized four days after Russia invaded Ukraine.

Russia says it has used the port as a base to ferry in equipment for its troops.

Russian army TV hailed the arrival of the Orsk in Berdyansk last week as an "epic event" as it was the first Russian warship to dock there.
Drone footage filmed by a Russian state TV reporter showed an armoured personnel carrier being offloaded from the Orsk in the port. The armoured vehicles were to be used to reinforce Russian troops, the TV report added.



Kwahiyo mkuu ulitaka urusi isipoteze hata silaha yake moja.Hiyo ukraine sio dhaifu kivita kama mnavyoaminishwa na propaganda za western ili tuwaonee huruma.Ukraine wa jeshi imara na wananchi wana mshikamano kwahiyo sio vita ndogo hiyo.
 
Back
Top Bottom