BBC: Meli ya kivita ya Urusi yalipuliwa

BBC: Meli ya kivita ya Urusi yalipuliwa

Sawa sawa naona Yuda wako wengi Sana Tz ,matendo Kama yapi kwa mfano!?
Kumiliki vikundi kama itarahamwe a.k.a wasiojulikana,chuki ya waziwazi juu ya upinzani na viongozi wake wakati upo kikatiba,Ukabila,yeye ndiye founder wa SukumaGang,visasi,n.k
 
Ukraine inaandika kwa kupewa silaha za kivita na USA na EU pamoja na askari wa msaada wa mapambano badala ya kutumia silaha zake halisi, hivi kweli ni akili zako binafsi au dishi lako limeyumba [emoji848][emoji23]
Ukraine alikua na vifaru 78 tu wakati vita inaanza ila hadi jana kateka vifaru 117 vya mvamizi
 
Kama upo JF na huwezi kuona kuwa Ukraine anaungwa mkono na NATO + USA,utakuwa ni mtu wa kushangaza sana? Wenzio Pro Russia wanali lia hapa kuwa Putin anapigana na Ukraine na NATO kwa wakati mmoja,halafu wewe hulioni hilo.
Wew nae umekuja kuongeza kvant kwenye moto
 
Kama upo JF na huwezi kuona kuwa Ukraine anaungwa mkono na NATO + USA,utakuwa ni mtu wa kushangaza sana? Wenzio Pro Russia wanali lia hapa kuwa Putin anapigana na Ukraine na NATO kwa wakati mmoja,halafu wewe hulioni hilo.
ulitaka babu abake mjukuu anaangaliwa tu ?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Kama upo JF na huwezi kuona kuwa Ukraine anaungwa mkono na NATO + USA,utakuwa ni mtu wa kushangaza sana? Wenzio Pro Russia wanali lia hapa kuwa Putin anapigana na Ukraine na NATO kwa wakati mmoja,halafu wewe hulioni hilo.
Watu mnachekesha sana, si mlisema kwamba Russia hana mpinzani kivita hapa duniani sasa hizo lawama za Nato kuingilia vita zinatoka wapi?

Halafu taarifa mpya tuliyopata ni kwamba kwa kalenda ya kirusi mwezi moja ni sawasawa na siku moja hivyo kwa maana hiyo kwa warussia sasa ndio siku moja imeisha toka waanze vita. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom