BBC: Meli ya kivita ya Urusi yalipuliwa

BBC: Meli ya kivita ya Urusi yalipuliwa

Anguko la kwanza la Russia lilikuwa 1990,hili litakuwa la pili na la mwisho,baada ya hapa watoto wetu watakuja kusoma tu historia kama vile sisi tulivyosoma Historia ya iliyokuwa USSR
Kunywa kirikuuu hapo kwa Mangi
 
Cha mhimu hapo bomu moya la nyukria limwagike pale urusi kama marekani alivyofanya Japan nakasaki na Hiroshima
 
Hawawezi kuvitumia kamwe hawana ujuzi vitawaua wew subiri
Jamaa unaushabiki mbaya Sana,Sioni Sura yako lakini huenda machozi yanakutoka,Kila habari ya Ukraine kuua hata mwanajeshi mmoja wa Russia unasema ni propaganda. Kila Kitu unapinga utafikili upo Frontline.

Unasema Ukraine hawezi kuviendesha Vifaru vya Urusi? Wewe utakuwa na taarifa Finyu kuhusu Ukraine. Ukraine ambaye Wanajeshi wake wanaendesha vizuri kabisa ndege za Urusi Kama Su-27,Su-24 na Mig-29 na Mig-34 ndio washindwe kuendesha Vifaru vya Urusi? Mahaba kwa Urusi yatakutia upofu na Mwisho utakufa.
 
Nakuomba ufafanue mkuu
NATO Hawawezi ingiza majeshi yao ukraine,ila through Volunteers,majeshi yote yamo ukraine..
Vifaa vya kijeshi vyote,silaha,ndege,drones za tech ya hali ya juu wanapewa na Nato
Inteligency pia wanapata NATO&Us
Sanctions etc
Kwa kifupi Urusi alitafutwa,kaingia mtegoni.
 
Ukraine inaandika kwa kupewa silaha za kivita na USA na EU pamoja na askari wa msaada wa mapambano badala ya kutumia silaha zake halisi, hivi kweli ni akili zako binafsi au dishi lako limeyumba [emoji848][emoji23]
Weka ushahidi apa
 
Jamaa unaushabiki mbaya Sana,Sioni Sura yako lakini huenda machozi yanakutoka,Kila habari ya Ukraine kuua hata mwanajeshi mmoja wa Russia unasema ni propaganda. Kila Kitu unapinga utafikili upo Frontline.

Unasema Ukraine hawezi kuviendesha Vifaru vya Urusi? Wewe utakuwa na taarifa Finyu kuhusu Ukraine. Ukraine ambaye Wanajeshi wake wanaendesha vizuri kabisa ndege za Urusi Kama Su-27,Su-24 na Mig-29 na Mig-34 ndio washindwe kuendesha Vifaru vya Urusi? Mahaba kwa Urusi yatakutia upofu na Mwisho utakufa.
Siongei kwa ushabiki Mkuu mm siko Ukraine Wala Russia mm nnchobase ni mazungumzo peacefully resolution ayo mambo ya Vita mnachochea ninyi NATO ,kwann mtoe taarifa pande moja ili kuwapanikisha warusi ,kwann CNN ,BBC, skynews wasibase kweny usuluhishi na si mapigano Leo hii hatujui idadi ya wanajeshi wa Ukraine waliokufa Ila kila mda ni Russia ,haina umuhimu katika kuleta amani kwa pande zote mbili.
 
Sawa ukishakua shabiki wa Vita huwezi elewa kinachosemwa
Urusi ameshindwa kutangaza kwa jamaa na mama na ndugu wa watoto wao ambao ni majeshi ya russia namna washavouliwa amebana kimya hadi leo miili ya maiti zao zimezagaa Ukraine, unafkiri mtu katili kama huyu atakuja kukupa wewe update ya vita wewe unayeshi hapo Gongo la mboto???
 
BBC NA CNN NI U.T.I iliyokomaa kwa Propaganda...
Kweli.
FOsb4z6XoAw_iXU.jpg
 
Back
Top Bottom