BBC: Meli ya kivita ya Urusi yalipuliwa

BBC: Meli ya kivita ya Urusi yalipuliwa

Tunaojua tulisema toka mwanzo kwamba piga ua Russia hatakaa ashinde hivi vita na mwisho wa hivi vita Russia itakuwa imeporomoka kiuchumi hadi kuwa sawa na nchi ya dunia ya tatu.

Kosa kubwa alilofanya Putin na wapambe wake ni kufikiria kwamba nchi za magharibi zingemwangalia tu na kumlaani kwa maneno baada ya kuivamia Ukraine kama walivyofanya pale alipoitwaa Crimea.

Safari hii nchi za magharibi zimepata sababu ya kuimaliza kabisa dola ya Russia na tutarajie kuona Russia mpya kabisa ikizaliwa.
 
Washabiki wa Putin , Watakuambia ni propaganda 😊...yaani ukiwa shabiki wa urusi automatically unajitahidi kuukimbia ukweli
 
Kama pana kitu kinanichekesha kwa Pro Putin ni jinsi wanavyolitumia hilo neno Propaganda, cha ajabu sasa,hao hao BBC or CNN wakitoa habari wanayoipenda unawaona wanaongozana kama nzige kutupostia humu
 
Tunaojua tulisema toka mwanzo kwamba piga ua Russia hatakaa ashinde hivi vita na mwisho wa hivi vita Russia itakuwa imeporomoka kiuchumi hadi kuwa sawa na nchi ya dunia ya tatu.

Kosa kubwa alilofanya Putin na wapambe wake ni kufikiria kwamba nchi za magharibi zingemwangalia tu na kumlaani kwa maneno baada ya kuivamia Ukraine kama walivyofanya pale alipoitwaa Crimea.

Safari hii nchi za magharibi zimepata sababu ya kuimaliza kabisa dola ya Russia na tutarajie kuona Russia mpya kabisa ikizaliwa.
An gesi inauzwa kwa rubble kazi mnayo.
 
Anguko la kwanza la Russia lilikuwa 1990,hili litakuwa la pili na la mwisho,baada ya hapa watoto wetu watakuja kusoma tu historia kama vile sisi tulivyosoma Historia ya iliyokuwa USSR
 
Back
Top Bottom