Nilisema hapa Trump na Netanyahu hawapo tayari kumaliza vita maana kuna kesi zinawawinda humo ndani. So watapigana tu ili kujitengenezea popularity kwa wapiga kura wao lakini pia kudivert siasa za ndani kuelekea kwa adui mmoja yaani Iran.Inaonekana US hawako tayari kwa maridhiano, mlango ulifunguliwa rasmi lakin US wakaendelea kupaki meli zao huko bahari kuu sasa umefungwa tena rasmi.
View attachment 3574948
Trump atatoboa kweli kwenye uchaguzi wa November??Nilisema hapa Trump na Netanyahu hawapo tayari kumaliza vita maana kuna kesi zinawawinda humo ndani. So watapigana tu ili kujitengenezea popularity kwa wapiga kura wao lakini pia kudivert siasa za ndani kuelekea kwa adui mmoja yaani Iran.
Hatoboi, ataangushwa kwenye bunge la wawakilishi (wabunge) na pia kwenye bunge la senate (senators). Na usishangae akawa impeached maana hii vita imemshushia heshima sasa ukiweka na rundo la ushahidi kwenye Epstein Files hatoboi.Trump atatoboa kweli kwenye uchaguzi wa November??