BBC: Meli zashambuliwa Hormuz, nyengine zageuza baada ya onyo la Iran

YUMKIN Trump ikawa ni kweli yeye na rafiki zake wananufaika kwenye masoko ya Hisa uko Marekani kuendelea kuulea huu Mgogoro !!

lkn kwasasa inashangaza sio Trump tena mwenye kauli zakufanya Masoko ya Hisa yashuke au yapande!!!

kwasasa Masoko yanatingishika kwa kauli za Iranian tu.

Trump kauli zake ni sawa tu kuimba bayoyo bayoyo πŸ˜‚

kauli yenye nguvu kwasasa inatoka Iranian
 
Inaonekana US hawako tayari kwa maridhiano, mlango ulifunguliwa rasmi lakin US wakaendelea kupaki meli zao huko bahari kuu sasa umefungwa tena rasmi.
View attachment 3574948
Nilisema hapa Trump na Netanyahu hawapo tayari kumaliza vita maana kuna kesi zinawawinda humo ndani. So watapigana tu ili kujitengenezea popularity kwa wapiga kura wao lakini pia kudivert siasa za ndani kuelekea kwa adui mmoja yaani Iran.
 
Trump atatoboa kweli kwenye uchaguzi wa November??
Hatoboi, ataangushwa kwenye bunge la wawakilishi (wabunge) na pia kwenye bunge la senate (senators). Na usishangae akawa impeached maana hii vita imemshushia heshima sasa ukiweka na rundo la ushahidi kwenye Epstein Files hatoboi.
 
Kabla hata hatujazaliwa, vita vilikuwepo, mataifa yalipigana, ufalume na ufalume pia ulipigana

Nishangae kwa Iran na Marekani kupigana?

Acha wanyoshane

Sisi sote mitandaoni ni wapambe tu na hatuwasaidii kwa chochote wanaopigana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…