Taarifa za mastaa wetu, ni ngumu kuzipata, hapa kuna tatizo huenda ni uwoga wa kodi... Ila nimewahi sikia utajiri wa MASANJA MKANDAMIZAJI ni hatari eti jide na hata mondi(dangote) wanasubiri... Ehhh, hebu wenye hizi nyaraka from right and reliable source afunguke...dah ana mpunga aisee, hv dangote wetu atakua na sh ngap jaman? mana adele akitoa nyimbo anatulia hata miaka miwili lakn kina chibu wanatoa kila baada ya week tatu.
Tafuta na nyimbo zke zilizopita utojuta km someone like you, rolling deep, set fire in the rain, turning tables, skyfall, chasing pavements, daydreamer, dont u remeberMie nimemjulia kwenye wimbo wake wa hello.. ..
Asante nitasikiliza leo......Tafuta na nyimbo zke zilizopita utojuta km someone like you, rolling deep, set fire in the rain, turning tables, skyfall, chasing pavements, daydreamer, dont u remeber
Ni kweli mkuu, ata hivyo she worth it and she can make to trillions if she put the same effort as usual, yani adele she is perfect musician, yeye ana hits song nyinge kuliko maelezo na zimebeba ujumbe....hongera zimfikieKuna documentary Moja niliangalia BBC kuhusu utajiri wake wakasema kuwa akiendelea na trend hii akifika 41 yrs atakuwa TRILLIONEA......dada yuko juu
Hivi nini hasa, ni recommended from a doctor that she need abig rest ama yeye binafsi mkuu ndo mipango yakeYaani halafu kitu cha ajabu ni kuwa hafanyi mziki like serious serious niliona interview yake Moja maana mimi ni adeleholic so namfuatilia sana anasema alifanya hii second album basi tu but alishaamua kuacha mziki kabisa so wala hakutegemea kama watu wangeipenda hivi anasema hakuwa na mzuka kivile wakati yuko studio so hakuwa na mategemeo makubwa so imagine what will happen if akiamua kuweka efforts zaidi !!??
Sema ndo hvy nimesikia tena eti anapumzima mziki for more years again....so sad
Alisema anataka mda wa kukaa n familia ykeHivi nini hasa, ni recommended from a doctor that she need abig rest ama yeye binafsi mkuu ndo mipango yake
Toka yupo chuo ila c alisema kaachaHivi sigara ameanza kutumia muda......