Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Documents zilizoliki za Pentagon zimeonesha kuwa wanajeshi wa vikosi maalumu toka Marekani, Uingereza, na nchi nyingine za NATO wapo uwanja wa vita Ukraine wakipigana na masecurity guards wa Urusi (wargner group).
Cha kusikitisha na kuhuzunisha ni kuwa kwa zaidi ya mwaka sasa vikosi hivyo maalumu vimeshindwa kuwazuia masecurity guards (wargner group-kampuni ya ulinzi kama hizi kampuni zetu binafsi za kibongo tu) kuteka ardhi ya Ukraine wala kurejesha ardhi iliyotekwa na masecurity guards hao.
Licha ya zile ngano za kale, uvumi na ngonjera ambazo huwa tunasimuliwa hapa JF, kwenye vijiwe vya kahawa na hata kwenye Hollywood movies juu ya eti uhodari na weledi wa mapigano ya kivita ya vikosi hivyo maalumu (special forces) vya Super Power wetu wa mchongo (Marekani) na shoga yake (Uingereza), vikosi hivyo vimeshindwa kuikomboa Ukraine!
Aisee Urusi ni noumaa...shikamoo Urusi, Mungu mbariki Putin.