mnangagwa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 992
- 1,461
Endelea kuonja utamu wa yesuNyie wataalam wa kujilipua mbona hamjaenda huko mkajilipue ili mkapate wale mabikra 72 walio katika nchi ya kusadikika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuonja utamu wa yesuNyie wataalam wa kujilipua mbona hamjaenda huko mkajilipue ili mkapate wale mabikra 72 walio katika nchi ya kusadikika.
Ila tukumbuke Urusi ilikuwa km 11 kuingia kyiev mpk sasa ipo mashariki ya Ukraine , sasa hamuoni improvement hapo?Documents zilizoliki za Pentagon zimeonesha kuwa wanajeshi wa vikosi maalumu toka Marekani, Uingereza, na nchi nyingine za NATO wapo uwanja wa vita Ukraine wakipigana na masecurity guards wa Urusi (wargner group).
Cha kusikitisha na kuhuzunisha ni kuwa kwa zaidi ya mwaka sasa vikosi hivyo maalumu vimeshindwa kuwazuia masecurity guards (wargner group-kampuni ya ulinzi kama hizi kampuni zetu binafsi za kibongo tu) kuteka ardhi ya Ukraine wala kurejesha ardhi iliyotekwa na masecurity guards hao.
Licha ya zile ngano za kale, uvumi na ngonjera ambazo huwa tunasimuliwa hapa JF, kwenye vijiwe vya kahawa na hata kwenye Hollywood movies juu ya eti uhodari na weledi wa mapigano ya kivita ya vikosi hivyo maalumu (special forces) vya Super Power wetu wa mchongo (Marekani) na shoga yake (Uingereza), vikosi hivyo vimeshindwa kuikomboa Ukraine!
Aisee Urusi ni noumaa...shikamoo Urusi, Mungu mbariki Putin.
View attachment 2585728