BBC Swahili inaripoti kwa upendeleo mgogoro wa Israel Vs Palestina

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Hizo propaganda zenu baada ya kushindwa Urusi mumehamia Mashariki ya kati? Ukifungua page ya website ya bbc swahili kila kukicha Isreal hivi hivi huku ikishindwa kuandika kabisa mafanikio ya Palestina.

Licha majeshi ya Isreal kupigwa na kurudishwa nyumbani kwao ktk majeneneza lkn wamekuwa kimya.
Wanavyoripoti na uhalisia ni tofauti.

Kama wanavyoripoti ni kweli ni zawadi sio America wala UK angaliomba Hamas wasimamishe vita.
Angalau waache bias kidogo
 
Kwani wewe inakuumiza nini roho yako. Nanyie TBC si uwambie waripoti vile unavyotaka kusikia kuhusu hao wenzenu wa HAMAS na HEZBOLLAH. Hizo roho zenu za kuhamasisha kumwaga damu za wenzenu hazitawapeleka mbinguni wala kuwapa hao mabikira warembo mnaodanganywa kupatiwa huko ahera ! Kule ukienda haurudi na hakuna hivyo vitu . Mtajiripua bure na kupteza maisha yenu ha hapa duniani wakati hakuna maisha mengine baada ya hapa. So linda na tetea uhai wako na wa wenzako pasipo hiana wala chuki.
 
Bbc wanasema hawapendelei. Kama wapo pamoja waseme tujue upande wao tuangalie channel nyengine
Kabla ya kukosoa vile vyombo vya nje, kosoa kwanza vya hapa nyumbani kwenu ambavyo navyo vimegeuka kuwa chawa na havitoe tena balance news any more .
 
Hakuna mwarabu wa kumpiga Israel. Wayahudi ndiyo wameshikilia teknolojia ya dunia hii hata nchi zote za Ulaya na Marekani wanawategemea wayahudi......(rejea hotuba ya Netanyahu akihutubia bunge la Marekani hivi karibuni).

Juzi juzi Israel imeuwa rais wa Iran na Iran imeufyata. Hao wahuni wa Hamas wamezikwa na vifusi vya nyumba zao. Na hao Hezbollah nao wameanza kuonja joto ya jiwe.

Israel ishawahi kupigana na nchi zote za kiarabu na ikashinda vita. Acha kufananisha wahuni na taifa la Mungu.
 
Hizo propaganda zenu baada ya kushindwa Urusi mumehamia Mashariki ya kati? Ukifungua page ya website ya bbc swahili kila kukicha Isreal hivi hivi huku ikishindwa kuandika kabisa mafanikio ya Palestina.
Licha majeshi ya Isreal kupigwa na kurudishwa nyumbani kwao ktk majeneneza lkn wamekuwa kimya.
Wanavyoripoti na uhalisia ni tofauti.
Kama wanavyoripoti ni kweli ni zawadi sio America wala UK angaliomba Hamas wasimamishe vita.
Angalau waache bias kidogo
Wewe udini unakusumbua sana. Mm huwa naangalia sana tv ya Aljazeera ambayo, kwa kutuhumiwa na Israel kuwa inapendelea waarabu, imezuiwa kuripoti kutoka ndani ya Israel, sijawahi kuona hicho unachokisema. Wanaonyesha kila siku watoto, wanawake na wengine wameuawa kinyama na majeshi ya Israel. Sioni hao wanajeshi Wa Israel wakiwa katika Masanduku km unavyodai, au wewe ndiye unayesafirisha hiyo miili ya wanajeshi Wa Israel wakiwa ktk Masanduku kwa siri??
 
Halafu wet
Leo tangu asubuhi wanatoa Wasifu wa Nasrallah tu 🐼
Wewe udini unakusumbua sana. Mm huwa naangalia sana tv ya Aljazeera ambayo, kwa kutuhumiwa na Israel kuwa inapendelea waarabu, imezuiwa kuripoti kutoka ndani ya Israel, sijawahi kuona hicho unachokisema. Wanaonyesha kila siku watoto, wanawake na wengine wameuawa kinyama na majeshi ya Israel. Sioni hao wanajeshi Wa Israel wakiwa katika Masanduku km unavyodai, au wewe ndiye unayesafirisha hiyo miili ya wanajeshi Wa Israel wakiwa ktk Masanduku kwa siri??
Itakuwa mwandishi wa bbc wewe. Huna hoja
 
Hizo propaganda zenu baada ya kushindwa Urusi mumehamia Mashariki ya kati? Ukifungua page ya website ya bbc swahili kila kukicha Isreal hivi hivi huku ikishindwa kuandika kabisa mafanikio ya Palestina.

Licha majeshi ya Isreal kupigwa na kurudishwa nyumbani kwao ktk majeneneza lkn wamekuwa kimya.
Wanavyoripoti na uhalisia ni tofauti.

Kama wanavyoripoti ni kweli ni zawadi sio America wala UK angaliomba Hamas wasimamishe vita.
Angalau waache bias kidogo
Taqqya na Allah wenu
 
Katazame Al Jazeera!
Lakini kumbuka moto wa Israel kwa wajukuu wa mudi uko pale pale.
 
Hizo propaganda zenu baada ya kushindwa Urusi mumehamia Mashariki ya kati? Ukifungua page ya website ya bbc swahili kila kukicha Isreal hivi hivi huku ikishindwa kuandika kabisa mafanikio ya Palestina.

Licha majeshi ya Isreal kupigwa na kurudishwa nyumbani kwao ktk majeneneza lkn wamekuwa kimya.
Wanavyoripoti na uhalisia ni tofauti.

Kama wanavyoripoti ni kweli ni zawadi sio America wala UK angaliomba Hamas wasimamishe vita.
Angalau waache bias kidogo
😂😂😂 We nawe asa hauoni
 
Sasa kama wapalestina hawana mafanikio yeyote mlitaka bbc waandike nini kuwafurahisha nyie kobazi
 
Back
Top Bottom