Bbc Swahili: Isreal sio ardhi yao ni ya Palestina

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Tangu karne ya kumi na tisa, Palestina imeshuhudia idadi ndogo ya wahamiaji wa Kiyahudi, lakini waliongezeka mwishoni mwa karne ya kumi na tisa na mwanzoni mwa karne ya ishirini kwa kuanzishwa kwa harakati ya Kizayuni.

Kabla ya 1880, kulikuwa na Wayahudi 25,000 wanaoishi Palestina kwa vizazi vingi. Kati ya 1882 na 1903, Palestina ilishuhudia wimbi la kwanza la wahamiaji wa Wayahudi. Jumla ya Wayahudi waliofika Palestina ilifikia kati ya Wayahudi elfu 20 hadi 30 kutoka Urusi ya Tsarist kutokana na vitendo vya unyanyasaji na mashambulizi waliyokuwa wakikabiliana nayo huko.

Wimbi la pili la uhamiaji lilitokea kati ya 1904 na 1914, na jumla ya Wayahudi wa Kirusi 35 na 40,000, ambao wengi wao walikuwa na mielekeo ya ujamaa. Katika kipindi hiki, jumuiya za kwanza za kilimo za ushirika za Kiyahudi zinazojulikana kama kibbutzim zilionekana.
 
Hapo Jerusalem ndipo walipozikwa akina Isaka, Jakobo, Yusufu, Benjamin, Yuda na wengine wengi zaidi ya miaka 4,000 iliyopita, sasa hao wapalestina walikuwa wapi kipindi hicho ambapo leo ndio wanakuja kudai eti waliporwa ardhi. Hao ni matapeli tu.
 
Mleta mada mtu atarudije sehemu sio yake?

Yani wanawezaje kuwa wamechanganyikiwa kurudi katika ardhi isiyo Yao?

Usahihi ni kuwa Wapalestina ndo wavamizi, vinginevyo BIBLIA TAKATIFU haipaswi kuwepo, na ni kitu hakiwezekani...
 
Ardhi ya Watoto wa Isaka anajibu mtu kutoka Uk? bora angejibu mtu from Syria at least... Waisrael wameweka records maandisi na story zote kwenye magome,Karatasi na Mawe kuna la kumuuliza Muisrael tena Bora angesema Mroma ambaye alibadilisha jina from Judea to Palestine
 
Mleta mada mtu atarudije sehemu sio yake?

Yani wanawezaje kuwa wamechanganyikiwa kurudi katika ardhi isiyo Yao?

Usahihi ni kuwa Wapalestina ndo wavamizi, vinginevyo BIBLIA TAKATIFU haipaswi kuwepo, na ni kitu hakiwezekani...
Kwani biblia ndo historical evidence yako mkuu ?
 
Ni lazima nirudi kwenye BIBLIA, kuhakikisha CHOCHOTE, na kama kuna mtu nitapaswa kumwamini kuhusu History Kwanza awe anaamini BIBLIA...
🤣🤣
Haya mkuu sawa but history nyingi zimeandikwa na watu wasio amini kama kina Josephus na wwngine
 
Tangu karne ya kumi na tisa, Palestina imeshuhudia idadi ndogo ya wahamiaji wa Kiyahudi, lakini waliongezeka mwishoni mwa karne ya kumi na tisa na mwanzoni mwa karne ya ishirini kwa kuanzishwa kwa harakati ya Kizayuni.
Kabla ya 1880, kulikuwa na Wayahudi 25,000 wanaoishi Palestina kwa vizazi vingi. Kati ya 1882 na 1903, Palestina ilishuhudia wimbi la kwanza la wahamiaji wa Wayahudi. Jumla ya Wayahudi waliofika Palestina ilifikia kati ya Wayahudi elfu 20 hadi 30 kutoka Urusi ya Tsarist kutokana na vitendo vya unyanyasaji na mashambulizi waliyokuwa wakikabiliana nayo huko.
Wimbi la pili la uhamiaji lilitokea kati ya 1904 na 1914, na jumla ya Wayahudi wa Kirusi 35 na 40,000, ambao wengi wao walikuwa na mielekeo ya ujamaa. Katika kipindi hiki, jumuiya za kwanza za kilimo za ushirika za Kiyahudi zinazojulikana kama kibbutzim zilionekana.

Source
Combo chenu bbc
Mkuu kabla ya karne ya kumi na tisa wayahudi walikua wanakaa buguruni.
SOURCE :CHOMBO CHENU TV IMAN
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Tangu karne ya kumi na tisa, Palestina imeshuhudia idadi ndogo ya wahamiaji wa Kiyahudi, lakini waliongezeka mwishoni mwa karne ya kumi na tisa na mwanzoni mwa karne ya ishirini kwa kuanzishwa kwa harakati ya Kizayuni.
Kabla ya 1880, kulikuwa na Wayahudi 25,000 wanaoishi Palestina kwa vizazi vingi. Kati ya 1882 na 1903, Palestina ilishuhudia wimbi la kwanza la wahamiaji wa Wayahudi. Jumla ya Wayahudi waliofika Palestina ilifikia kati ya Wayahudi elfu 20 hadi 30 kutoka Urusi ya Tsarist kutokana na vitendo vya unyanyasaji na mashambulizi waliyokuwa wakikabiliana nayo huko.
Wimbi la pili la uhamiaji lilitokea kati ya 1904 na 1914, na jumla ya Wayahudi wa Kirusi 35 na 40,000, ambao wengi wao walikuwa na mielekeo ya ujamaa. Katika kipindi hiki, jumuiya za kwanza za kilimo za ushirika za Kiyahudi zinazojulikana kama kibbutzim zilionekana.

Source
Combo chenu bbc
Wapo sahihi marekani katengeneza kanchi kale kwasababu zake za kiuchumi na usalama kucontrol middle east na dunia , wakristo wengi wa tanzania hawajui ukweli wanashabikia tu, huyo hapo young biden anakwambia hata kama israel haipo wr have to invent one na wana invest 3bn usd na hawatochoka kuinvest ili kuwe na taifa la wazungu middle east
 
Attachments

  • Screenshot_20231103-200827_Facebook.jpg
    Screenshot_20231103-200827_Facebook.jpg
    101.6 KB · Views: 7
Mkuu naona bado inaleta nyuzi za kupondea wayahudi huku gaza kichapo kinaendelea.
Si ulisema MGAMBO WA HEZBOLLAH WATATOA KAULI LEO NA KUIVAMIA ISRAEL
KIPO WAPI?🤣🤣
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Tangu karne ya kumi na tisa, Palestina imeshuhudia idadi ndogo ya wahamiaji wa Kiyahudi, lakini waliongezeka mwishoni mwa karne ya kumi na tisa na mwanzoni mwa karne ya ishirini kwa kuanzishwa kwa harakati ya Kizayuni.

Kabla ya 1880, kulikuwa na Wayahudi 25,000 wanaoishi Palestina kwa vizazi vingi. Kati ya 1882 na 1903, Palestina ilishuhudia wimbi la kwanza la wahamiaji wa Wayahudi. Jumla ya Wayahudi waliofika Palestina ilifikia kati ya Wayahudi elfu 20 hadi 30 kutoka Urusi ya Tsarist kutokana na vitendo vya unyanyasaji na mashambulizi waliyokuwa wakikabiliana nayo huko.

Wimbi la pili la uhamiaji lilitokea kati ya 1904 na 1914, na jumla ya Wayahudi wa Kirusi 35 na 40,000, ambao wengi wao walikuwa na mielekeo ya ujamaa. Katika kipindi hiki, jumuiya za kwanza za kilimo za ushirika za Kiyahudi zinazojulikana kama kibbutzim zilionekana.
Bora umeelewa idadi ndogo ya wayahudi 25000 walioishi Kwa karne nyingi maana yake kesi imeisha
 
Hapo Jerusalem ndipo walipozikwa akina Isaka, Jakobo, Yusufu, Benjamin, Yuda na wengine wengi zaidi ya miaka 4,000 iliyopita, sasa hao wapalestina walikuwa wapi kipindi hicho ambapo leo ndio wanakuja kudai eti waliporwa ardhi. Hao ni matapeli tu.
Hapo ulipo wewe babu zako wewe wa kizazi cha 6 nyuma kuna makubari yao?
 
Tangu karne ya kumi na tisa, Palestina imeshuhudia idadi ndogo ya wahamiaji wa Kiyahudi, lakini waliongezeka mwishoni mwa karne ya kumi na tisa na mwanzoni mwa karne ya ishirini kwa kuanzishwa kwa harakati ya Kizayuni.

Kabla ya 1880, kulikuwa na Wayahudi 25,000 wanaoishi Palestina kwa vizazi vingi. Kati ya 1882 na 1903, Palestina ilishuhudia wimbi la kwanza la wahamiaji wa Wayahudi. Jumla ya Wayahudi waliofika Palestina ilifikia kati ya Wayahudi elfu 20 hadi 30 kutoka Urusi ya Tsarist kutokana na vitendo vya unyanyasaji na mashambulizi waliyokuwa wakikabiliana nayo huko.

Wimbi la pili la uhamiaji lilitokea kati ya 1904 na 1914, na jumla ya Wayahudi wa Kirusi 35 na 40,000, ambao wengi wao walikuwa na mielekeo ya ujamaa. Katika kipindi hiki, jumuiya za kwanza za kilimo za ushirika za Kiyahudi zinazojulikana kama kibbutzim zilionekana.
Wewe sikiliza hii historia yenyewe hapa

View: https://youtu.be/BJiX9_spvak?si=EaEUCQTOFhmOBNFl
 
Back
Top Bottom