Hata kama makaburi hayawezi kuonekana lkn inajulikana wazi wapi waliishi na kipindi gani.Hapo ulipo wewe babu zako wewe wa kizazi cha 6 nyuma kuna makubari yao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama makaburi hayawezi kuonekana lkn inajulikana wazi wapi waliishi na kipindi gani.Hapo ulipo wewe babu zako wewe wa kizazi cha 6 nyuma kuna makubari yao?
msikiti wenyewe ulijengwa lilipokuwa hekalu la mfalme suleimani. Wayahudi hawataki fujo, waliojenga huo msikiti watauondoa wenyeweMtasahau. Muunajsi msikiti wa Aqswa?
Katwae ardhi basHata kama makaburi hayawezi kuonekana lkn inajulikana wazi wapi waliishi na kipindi gani.
Ni kwambie MK254, hawa waislam hasa hawa wasiokuwa waarabu wanapotoshwa sana na waarabu. Waarabu walikuwa werevu wakawaambia ati lugha ya quran iwe kiarabu tu. Wenzangu na mm hawakijui halafu wanakaririshwa tu. Mbili wakaaminishwa ati Quran haina kosa lolote kiuandishi, kumbe ni kitabu kilichoandikwa kihovyo haijapata kutokea na imebadilishwa mno.Hivi mbona huwa mnalazimisha kumiliki hao Wayahudi akina Yakubu na Yusufu.
Uko tayari kuujua ukweli wa hiyo nchi ni ya nani haswa?Mi sibishani wayahudi kuwa na Nchi yao ila waliorudi pale ni Wazungu.Sasa swali la kujiuliza wale Wazungu walitokea wapi???Wakati wayahudi na waarabu wote wanafanana Kwa sura na tabia.Wale ni Wazungu bana wameletwa pale kimkakati na walifundishwa Mila na desturi za Jews miaka na miaka.Hivi mnawajua Roma wanavojua kupanga mipango yao.
Kama hiki mnaona ni sawa basi Putin ni halali aichukue Ukraine!! Au ukoloni urudi Afrika maana haiwezekani tunapinga ukoloni wa wazungu alafu tunashabikia ukoloni wa uarabuniNa wanahitaji kumiliki gaza kwa sasa. Lebanon ikijipendekeza na yenyewe ishuhudie ujenzi wa nyumba za walowezi kwenye ardhi yake😂😂😂