BBC Swahili mnatia aibu kuhusu Gaza

BBC Swahili mnatia aibu kuhusu Gaza

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Tunajua hamupendi waislam na mnapenda Mayahudi ktk hivi vita vya Gaza kati ya waislam na mayahudi na washirika wake. Lakini angalau tumieni weledi kidogo ktk kuripoti.

Jinsi mnavyoripoti basi pslestina wote washakufa. Yaani licha ya mayahudi kupigwa lkn page yenu ya bbc.swahili.co/swahili imejaa propaganda.

Jitahidini kuripoti usawia
 
Tunajua hamupendi waislam na mnapenda Mayahudi ktk hivi vita vya Gaza kati ya waislam na mayahudi na washirika wake. Lkn angalau tumieni weled kidogo ktk kuripoti. Jinsi mnavyoripoti basi pslestina wote washakufa. Yaani licha ya mayahudi kupigwa lkn page yenu ya bbc.swahili.co/swahili imejaa propaganda.
Jitahidini kuripoti usawia
kwa nini ulilie bbc kwani waislam hamna chombo chenu cha habar kinachoweza kuripoti jinsi mnavyotaka?
 
kwa nini ulilie bbc kwani waislam hamna chombo chenu cha habar kinachoweza kuripoti jinsi mnavyotaka?
Kwani jukumu la chombo cha habari ni kuripoti wanavyotaka au kuripoti ukweli.Kwenye ethics za journalism waandishi wanatakiwa kuwa fair sio biased.Hivyo BBC sasa ni mouthpiece ya mawazo na fikra za kimagharibi na sio ukweli na uweledi.
 
Kinachoendelea sasa hivi raia wa pande mbili ndio wanalipa gharama ya vita, lakini Palestine wanaumia zaidi, Hamas wanavuka mpaka na kwenda kuua raia wa Israel, Israel nao wanachukia na kwenda kuua raia Palestine.
 
Kwahiyo mleta mada unataka kusema wayahudi wanakufa wengi kuliko wapalestina?
Mleta mada anataka injini ikichemsha tuchomoe waya unaotupa hali halisi ya injini ili geji iwe inasoma cold muda wote
 
Kawasikilize Al-Jazeera uwasikie wakikupambia pambio za Parestina kuua kwa kuwavizia wayahudi
 
kwa nini ulilie bbc kwani waislam hamna chombo chenu cha habar kinachoweza kuripoti jinsi mnavyotaka?
Muislam.kufa ktk vita hivi kwake ni furaha maana ni vita vya jihad. Lkn bbc waache unazi waripoti usawia
 
kwa nini ulilie bbc kwani waislam hamna chombo chenu cha habar kinachoweza kuripoti jinsi mnavyotaka?
Haa Makafri Wanakupata Changamoto Ila Watajirekebisha
Namwambia Solomon Mogela Mkuu Wa Idhaa Ya Swahili
 
Kwani jukumu la chombo cha habari ni kuripoti wanavyotaka au kuripoti ukweli.Kwenye ethics za journalism waandishi wanatakiwa kuwa fair sio biased.Hivyo BBC sasa ni mouthpiece ya mawazo na fikra za kimagharibi na sio ukweli na uweledi.
kila chombo cha habari lazima kina mrengo fulani hivi hakuna chombo cha habari ambacho sio biased 100%. Inawezekana vipi kwa mfano bbc irushe habari za kuwasifia hamas na matendo yao? au al jazeera irushe habari za kuisifia israel? au azam TV iusifie ukristo? au upendo TV iusifie uislam? Halaf fairness ni judgemental kwa mleta uzi kulingana na iman yake si ajabu kuviona vyombo vya habar vya western haviupend uislam. Kwa mfano wewe mwenyewe unaona vyombo vya habar vya western vipo biased hebu taja hapa ni vyombo gani vya habari na kwa tathmin ipi inayokubalika kimataifa havipo biased?
 
Jitahidini kuripoti usawia
IMG_20230120_102545_105736.jpg
 
Back
Top Bottom