kila chombo cha habari lazima kina mrengo fulani hivi hakuna chombo cha habari ambacho sio biased 100%. Inawezekana vipi kwa mfano bbc irushe habari za kuwasifia hamas na matendo yao? au al jazeera irushe habari za kuisifia israel? au azam TV iusifie ukristo? au upendo TV iusifie uislam? Halaf fairness ni judgemental kwa mleta uzi kulingana na iman yake si ajabu kuviona vyombo vya habar vya western haviupend uislam. Kwa mfano wewe mwenyewe unaona vyombo vya habar vya western vipo biased hebu taja hapa ni vyombo gani vya habari na kwa tathmin ipi inayokubalika kimataifa havipo biased?