kwa nini ulilie bbc kwani waislam hamna chombo chenu cha habar kinachoweza kuripoti jinsi mnavyotaka?Tunajua hamupendi waislam na mnapenda Mayahudi ktk hivi vita vya Gaza kati ya waislam na mayahudi na washirika wake. Lkn angalau tumieni weled kidogo ktk kuripoti. Jinsi mnavyoripoti basi pslestina wote washakufa. Yaani licha ya mayahudi kupigwa lkn page yenu ya bbc.swahili.co/swahili imejaa propaganda.
Jitahidini kuripoti usawia
Kwani jukumu la chombo cha habari ni kuripoti wanavyotaka au kuripoti ukweli.Kwenye ethics za journalism waandishi wanatakiwa kuwa fair sio biased.Hivyo BBC sasa ni mouthpiece ya mawazo na fikra za kimagharibi na sio ukweli na uweledi.kwa nini ulilie bbc kwani waislam hamna chombo chenu cha habar kinachoweza kuripoti jinsi mnavyotaka?
Yaani BBC inawachukia akinaTunajua hamupendi waislam
Mleta mada anataka injini ikichemsha tuchomoe waya unaotupa hali halisi ya injini ili geji iwe inasoma cold muda woteKwahiyo mleta mada unataka kusema wayahudi wanakufa wengi kuliko wapalestina?
πππππ πAljazeera huijuwi ama vipi??
ππππ πKawasikilize Al-Jazeera uwasikie wakikupambia pambio za Parestina kuua kwa kuwavizia wayahudi
Muislam.kufa ktk vita hivi kwake ni furaha maana ni vita vya jihad. Lkn bbc waache unazi waripoti usawiakwa nini ulilie bbc kwani waislam hamna chombo chenu cha habar kinachoweza kuripoti jinsi mnavyotaka?
Haa Makafri Wanakupata Changamoto Ila Watajirekebishakwa nini ulilie bbc kwani waislam hamna chombo chenu cha habar kinachoweza kuripoti jinsi mnavyotaka?
kila chombo cha habari lazima kina mrengo fulani hivi hakuna chombo cha habari ambacho sio biased 100%. Inawezekana vipi kwa mfano bbc irushe habari za kuwasifia hamas na matendo yao? au al jazeera irushe habari za kuisifia israel? au azam TV iusifie ukristo? au upendo TV iusifie uislam? Halaf fairness ni judgemental kwa mleta uzi kulingana na iman yake si ajabu kuviona vyombo vya habar vya western haviupend uislam. Kwa mfano wewe mwenyewe unaona vyombo vya habar vya western vipo biased hebu taja hapa ni vyombo gani vya habari na kwa tathmin ipi inayokubalika kimataifa havipo biased?Kwani jukumu la chombo cha habari ni kuripoti wanavyotaka au kuripoti ukweli.Kwenye ethics za journalism waandishi wanatakiwa kuwa fair sio biased.Hivyo BBC sasa ni mouthpiece ya mawazo na fikra za kimagharibi na sio ukweli na uweledi.
Jitahidini kuripoti usawia