BBC Swahili mnatia aibu kuhusu Gaza

wakibadil mtalalama kuwa wanaficha maafa yenu , nyiny waislama ni watu wajinga sn
 
Kwani jukumu la chombo cha habari ni kuripoti wanavyotaka au kuripoti ukweli.Kwenye ethics za journalism waandishi wanatakiwa kuwa fair sio biased.Hivyo BBC sasa ni mouthpiece ya mawazo na fikra za kimagharibi na sio ukweli na uweledi.
mpalestina hata mmoja hajafa
 
Fuatlia Aljazeera

Sent from my TECNO CK6 using JamiiForums mobile app
 
Achana na BBC Swahili nenda kaangalie Aljazeera kama unaona unadanganywa
 
Bora hao BBC wanachuja, ingia mitandao ya Telegram uone watu wenu wanavyokufa yaani kama naona utajilipua bomu hapo ulipo.
 
Propaganda vipi,watu Wanachezea kichapo we unahisi propaganda,,,,wake up bro
 
Muislam.kufa ktk vita hivi kwake ni furaha maana ni vita vya jihad. Lkn bbc waache unazi waripoti usawia
Mkuu nasikia kuna mademu 72 wa kufanya nao ngono ambao maarabu watawapata wakiwaua wayahudi na wazungu na wabantu.
Ebu jaribu kufa wewe katika vita ya Congo tuone kama utakufa kwa furaha??????
Na kama ni furaha ili kupata mabinti peponi??? Mbona Yasin Arafat au Mahmoud Abass hawajitolei kufa???
Swali: KWAHIYO HATA WASOMALI WA AL SHABAB WANAVYOKUFA WAGA WANASIKIA RAHA NA WANAENDA PEPONI KUPATA WANAWAKE 72 WA KUFANYA NAO NGONO???
 
Swali mkuu je Al Jazeera au Al arabiya wanaripoti kwa usawa kuhusu hii mzozo????
 
Upo sahii mkuu
 
Kwani jukumu la chombo cha habari ni kuripoti wanavyotaka au kuripoti ukweli.Kwenye ethics za journalism waandishi wanatakiwa kuwa fair sio biased.Hivyo BBC sasa ni mouthpiece ya mawazo na fikra za kimagharibi na sio ukweli na uweledi.
Vp kwa mfano Al jazeera nacho sio mouth piece ya mawazo na fikira za mashariki na sio ukweli na uweledi???
@ Tui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…