Mpap Ndabhit
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 331
- 416
Naipenda sana BBC na Kwa kweli ni mfuatiliaji wa taarifa Kwa miaka na miongo kadhaa. Lakini Kwa Muda mrefu wamekuwa KERO Kwa kupitisha ajenda, tamaduni na Mila za ulaya na Amerika Kwa Waafrika. Inakera sana Kwa Sasa Kila taarifa zao wasipotangaza mambo ya mashoga na wasagaji kipindi Chao hakikakamilika. Tunawaambia kupitia mgomo wa KANISA LA AFRIKA dhidi papa Wakala wenu hatutaki.!!
Ni kweli haswaa, TBC ndiyo chanzo changu Cha kupata habari za uhakika. Lakini kwa habari za kimataifa ni BBCWw utakuwa ni mzee lazima, endelea kutazama TBC, hiyo BBC achia vijana wenye mitazamo huru, utakuja kupata ugonjwa wa moyo bure.
CHADEMA ndio wanasapoti ushogaNaipenda sana BBC na Kwa kweli ni mfuatiliaji wa taarifa Kwa miaka na miongo kadhaa. Lakini Kwa Muda mrefu wamekuwa KERO Kwa kupitisha ajenda, tamaduni na Mila za ulaya na Amerika Kwa Waafrika. Inakera sana Kwa Sasa Kila taarifa zao wasipotangaza mambo ya mashoga na wasagaji kipindi Chao hakikakamilika. Tunawaambia kupitia mgomo wa KANISA LA AFRIKA dhidi papa Wakala wenu hatutaki.!!
Chukua uamuzi wako wa kiarabu acha kusikiliza BBC, BBC haiwezi kukusikiliza wewe na mawazo yako finyu, haiwezekani Afrika yenye weusi na weupe ikawa na mila na utamaduni mmoja.Naipenda sana BBC na Kwa kweli ni mfuatiliaji wa taarifa Kwa miaka na miongo kadhaa. Lakini Kwa Muda mrefu wamekuwa KERO Kwa kupitisha ajenda, tamaduni na Mila za ulaya na Amerika Kwa Waafrika.
Inakera sana Kwa sasa kila taarifa zao wasipotangaza mambo ya mashoga na wasagaji kipindi chao hakikakamilika. Tunawaambia kupitia mgomo wa KANISA LA AFRIKA dhidi papa Wakala wenu hatutaki.!!
Kama kinachambua habari zitokanazo na mila na tamaduni za watu tu hiko kutakuwa sio chombo cha habari tena bali cha kimila na tamaduni.Naipenda sana BBC na Kwa kweli ni mfuatiliaji wa taarifa Kwa miaka na miongo kadhaa. Lakini Kwa Muda mrefu wamekuwa KERO Kwa kupitisha ajenda, tamaduni na Mila za ulaya na Amerika Kwa Waafrika.
Inakera sana Kwa sasa kila taarifa zao wasipotangaza mambo ya mashoga na wasagaji kipindi chao hakikakamilika. Tunawaambia kupitia mgomo wa KANISA LA AFRIKA dhidi papa Wakala wenu hatutaki.!!