Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 564
The power of dictatorships comes from the willing obedience of the PEOPLE they govern and if the PEOPLE can develop techniques of withholding their consent, a repressive regime will soon crumble. Happy SabbathWatapeli sio Barrick ni magufuli na ccm....
Ndio wanaohadaa watz kwa kuomgo wao huku wakiwaita barrick wanaune....
Viongozi wa ccm wanamakubaliano binafsi na barrick sio kwa manufaa ya nchi bali ya viongozi hao wakuu kabisa wa mihimili..... Ndio maana wamekazana kutunga sheria ili waruhusiwe kuvunja katiba ya nchi na wasishitakiwe...... Mnadhani hii inamaanisha nn? Hii ndio maana yake halisi......
Tumsaidie Tundu Lissu tuikomboe nchi hii inayoendeshwa kihuni na kilaghai na magufuli na ccm
Wakuu Jana niliangalia BBC Swahili, wamesema kwenye makubaliano yetu na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick kwenye zile asilimia ni kama tumepigwa, hivi hiki chombo cha habari cha mabeberu kinatutafutia nini?
Kwa hyo mkuu kabudi ametuingiza chaka kuwa tutapata 50/50 ya mgawanyo?alafu mbona vyombo vya habari vya ndani havihoji ili jambo kuwa mkataba umesainiwa ikulu,hii imekaaje kiongozi wangu?Walikuwa wanatuingiza chaka!!
Nilisikiliza taarifa yote ya habari...na mchambuzi huyu wa Chadema...very stupid indeed...BBC wamefanya hivyo makusudi kwa kumleta anayejiita mchambuzi kutoka Chadema..ni mkakati wa kampeni za ChademaWakuu Jana niliangalia BBC Swahili, wamesema kwenye makubaliano yetu na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick kwenye zile asilimia ni kama tumepigwa, hivi hiki chombo cha habari cha mabeberu kinatutafutia nini?
Kwa hyo mkuu hii habari sio kweli ni mipango ya mabeberu tu?Nilisikiliza taarifa yote ya habari...na mchambuzi huyu wa Chadema...very stupid indeed...BBC wamefanya hivyo makusudi kwa kumleta anayejiita mchambuzi kutoka Chadema..
Bro sio BBC waseme hata wewe kwa akili zako hufikirii kwanini siku hizi mdomoni mwa jiwe halitoki neno Makinikia?Wakuu Jana niliangalia BBC Swahili, wamesema kwenye makubaliano yetu na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick kwenye zile asilimia ni kama tumepigwa, hivi hiki chombo cha habari cha mabeberu kinatutafutia nini?
kutoka noah hadi balimi.Ina maana zile Noah zetu ndio hivyo tena.
Dah!kwa hyo kumbe mambo ni yale yale,lakin ni vizuri zaidi haya makubaliano na sisi wananchi tuyaone tena kwa kiswahiliBro sio BBC waseme hata wewe kwa akili zako hufikirii kwanini siku hizi mdomoni mwa jiwe halitoki neno Makinikia?
Subiri ukweli huo kumwagwa hadharani zigo atatushiwa startv
Noah zenu zipo bandarini tunafikiri kushusha bei ya driving schoolIna maana zile Noah zetu ndio hivyo tena.
Wakihoji wanafungiwa, huu ni wakati wa kusifu na kuabudu tu, chombo cha habari chochote kikiandika habari za upinzani lazima kufungiwe.Kwa hyo mkuu kabudi ametuingiza chaka kuwa tutapata 50/50 ya mgawanyo?alafu mbona vyombo vya habari vya ndani havihoji ili jambo kuwa mkataba umesainiwa ikulu,hii imekaaje kiongozi wangu?