BBC Swahili: Zuchu ndio msanii bora wa East Africa 2021!

BBC Swahili: Zuchu ndio msanii bora wa East Africa 2021!

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
How do you find it guys!!?
Mi binafsi nakubaliiii.

Haappy New yearrr to u alll. Love U

===

Zuchu Mwanamuziki anayechipuka , ukuaji wake umekuwa wa kushangaza.

Mwanamuziki huyu huimba kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza na ana sifa za muziki wa Tanzania aina ya Bongo Fleva.

Mwaka uliopita msanii huyu alitoa albamu yake ya uzinduzi I AM Zuchu na pia aliingia kandarasi na Lebo ya kurekodi muziki ya WCB Wasafi.

Kulingna na programu ya kucheza muziki ya Boomplay , Albamu yake ndio iliochezwa sana nchini Tanzania mwaka 2020 na video za muziki wake zimefanikiwa kuvutia mamilioni ya mashabiki katika mtandao wa You Tube.
 
Katika hotuba hizi mbili kuna moja wakati naendelea kuisikiliza gafla internet ikaslop down ila katika mambo niliyopata hit ni mikopo naona bado kuna janga kwa upande huo.

Huku kwa chief nimeona mambo ya covid na madaraja nk
 
1644312607587.png

Kuna msanii hapa Tanzania anaitwa Zuchu, Dah... Yule dada nampendaa kufaaaaaaaaaaa. Natamani tuu basi hata awe rafiki tuu mi nitaridhikaaa. Dada ambae kwakweli namkubali tuu.

Mtoto wa Khadija Kopa anaitwa Zuhura. Basi tuu sina uwezo, Ila naweza kumpa chochote ila kwa sasa amesha kuwa matawii analipa kodi Milion 44 kwa mwaka so siweziiii. Ila ni mtu ambae hata aseme tuu neno basi mi nafurahiii.

Zuchuuuuuu zuchuuu, Popote ulipo Zuchuuu nakupendaaaaaa nakupendaaa sanaaaaaaaa.

Dah...[emoji7]
Zuchuuu aseme tuu nenooo basiii
 
Juma Lokole unazingua sana, sasa hiyo mil44 si ajenge nyumba yake[emoji23][emoji23]
 
sema hawa jamaa huwa wanatupanga 44M maana ake hata kama ni masaki au posta nayo ni apartment ya kibabe tena ya 3 en suite bedrooms, maana ake ana kipato si chini ya 200M kwa mwaka[emoji23][emoji23][emoji119]
Waongo aisee hio nyumba labda iwe kama ofisi za wasafi😅 anakaa kwenye kodi ya 3.6M kwa mwezi sio swala dogo!
 
sema hawa jamaa huwa wanatupanga 44M maana ake hata kama ni masaki au posta nayo ni apartment ya kibabe tena ya 3 en suite bedrooms, maana ake ana kipato si chini ya 200M kwa mwaka[emoji23][emoji23][emoji119]
Yaani sijui hawa wasanii wanafikiriaga nini, yaani unajivunia kabisa kusema unapanga nyumba mil 3 kwa mwezi na hujajenga yako?[emoji56][emoji44]
 
Back
Top Bottom